Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Zab 94:18 SUV [18] Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee BWANA, fadhili zako zilinitegemeza. Fadhili za Mungu ni kubwa sana katika maisha ya mwanadamu, tunapozungumza fadhili za Mungu, ujue...
7 Reactions
11 Replies
370 Views
Binafsi ni mara yangu ya kwanza kufiwa na mtu ninaeishi nae nyumba moja, inauma sana nikiona baadhi ya vitu vyake nahisi kama namuona yeye by the way ni juzi tu hapo tumeongea. Hakika nyuma yake...
9 Reactions
59 Replies
992 Views
  • Redirect
Ofcourse ni jukumu lake mwanaume ku-provide kwa mwaanamke, ila inakuwaje pale mwanaume anapokuwa na ukata na mwanamke yuko mwake, afanye nini sasa? Modern Wanawake wamekuwa rooted into money...
1 Reactions
Replies
Views
Serikali ya Awamu ya Sita imetoa jumla ya shilingi bilioni 10.8 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa jengo jipya la kuhudumia...
2 Reactions
7 Replies
118 Views
Hii kitu ni mbaya sana unakuta mtu anajiona sio binadamu wa kawaida. Ni kweli umepambana kufika hapo ila jitahidi kuheshimu watu wote awe kapuku, Awe tajiri, Awe asiye na elimu, Awe na elimu...
5 Reactions
14 Replies
209 Views
Wananchi wa Kata ya Nkinga, katika Tarafa ya Simbo, wilayani Igunga, mkoani Tabora, ambao awali walikuwa hawana uhakika wa Kituo cha Polisi na kulazimika kupeleka malalamiko ya uhalifu umbali wa...
1 Reactions
2 Replies
150 Views
Wana JF, hebu tuweke mawazo mezani. Fikiria upo chumba kimoja na Rais Samia Suluhu Hassan na Dk. Hussein Mwinyi kwa dakika 3. Kama kijana chini ya miaka 35, unapata nafasi ya kushauri jambo moja...
1 Reactions
30 Replies
340 Views
Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha kupitia mtandao wa Polisi Wanawake limetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika kituo cha Mafunzo kwa Watu wenye ulemavu...
1 Reactions
2 Replies
73 Views
Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) mkoani Kilimanjaro leo Machi 6, 2025 wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha wazee wasiojiweza Njoro, kilichopo kata ya Mji mpya mkoani hapa...
1 Reactions
2 Replies
72 Views
Jumla ya Kata 10, Mitaa 15, Vijiji15, kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa huku wananchi 25,780 walifikiwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga katika zoezi la msaada wa kisheria...
1 Reactions
2 Replies
53 Views
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru Watendaji watatu ambao ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC)...
0 Reactions
2 Replies
531 Views
Ofisa Mkuu wa Fedha kutoka benki ya Exim, Shani Kinswaga (kushoto) na Mkurugenzi wa kampuni ya Dough Works Limited, waendeshaji wa CIP Lounge, Vikram Desai wakisaini nyaraka za makubaliano kwa...
1 Reactions
0 Replies
52 Views
Askari wa Burundi aelezea tofauti kati ya ushirikiano wa Burundi na Tanzania na ule wa Burundi na Rwanda. Akielezea jambo hilo askari huyo kutoka Burundi amesema kwamba askari wa Tanzania...
2 Reactions
5 Replies
335 Views
Kuelekea siku ya Mwanamke Dunia itayoadhimisha Marchi 8 mwaka huu Mkoani Arusha, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amezindua Msimu mpya wa Kampeni ya Mwanamke Fundi 2025. Mpogolo amezimdua...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM Mhe. Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu zaidi ya 70 wanaoishi katika jimbo lake ili kusaidia katika mahitaji ya chakula...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
  • Redirect
Wanaume wenzangu hapa JF wala tusifichane ukweli ni kwamba Nguvu za Kiume ni Janga Kubwa sana nchini Tanzania.
1 Reactions
Replies
Views
Kunazidi kuchangamka === Chama Cha Mapinduzi wilaya Ya Kibaha mkoani Pwani kimempa tuzo ya pongezi Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mjini, Nickson John Simon Nikki wa pili kwa usimamizi bora wa...
1 Reactions
1 Replies
108 Views
Mitandao mbalimbali pamoja na takwimu za dunia zinaoneshwa kwa zaidi ya miaka 23 sasa idadi ya wanawake imekuwa ndogo kidogo kulingamisha na idadi ya sisi wanaume. Kwa sisi washika dini baada...
1 Reactions
9 Replies
197 Views
  • Redirect
VERSE 1: Huamini miujiza mchumba Sauti ya nyuki inasikika Sogea karibu 'baby' 'times' zishafika Unipe uhuru 'dear Nikiss' nnapotoka Tukae mlimani dear Niwe 'free' ndani ya kopa, Penzi kwa fujo my...
9 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom