Salaam Wakuu,
Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya...
Kutokana na kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa wanao uwezo wa kusamehe madeni ya...
Kupitia mfumo mpya wa kuomba leseni za undeshaji magari, mambo yanaonekana kuwa magumu badala ya rahisi. Unapohitaji leseni kwajili ya kuendesha magari ya abiria na mitambo inakupasa kuhudhuria...
Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya, ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo...
Habari wakuu.....
Kwa walio chaguliwa kuendelea na hatua ya pili ya kufanya mtihani kwa ajili ya kujiunga na chuo kwenye scholarship za Hungary kwa level ya OTM one tier master please ni pm ili...
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi...
Swali:
Ningependa kujua kati ya Asphalt na Tarmac, ipi inatumika zaidi nchini?
Na ipi ina manufaa zaidi kwa mazingira yetu, hali ya hewa, na gharama za ujenzi na matengenezo?
Pia, je, kuna...
Tunapumua Mungu ni mwema.
Basi nikajiendea town si mara moja wala mbili, tatu au nne ni mara kibao biashara nyingi sana za Kiswahili unaingia dukani mtu anaongea.na simu ukikaza sikio anajadili...
Wakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee.
Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali...
Mathayo 6:1______________
Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.
2 Basi wewe utoapo...
Msichana wa miaka 17 (jina limehifadhiwa), aliyekatishwa masomo akiwa darasa la sita na kuozeshwa, amenusurika kifo baada ya kupigwa kikatili kwa madai ya kuchelewa kushika mimba. Tukio hili la...
Leo nimekutana na clip moja kwny group flani likimuonesha mwenyekiti wa CCM Singida akiwaambia wakina mama wassishie kuzaa mtoto mmoja au wawili kwani mama Samia amewezesha hudum ya afya iko...
Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID, kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per...
Dodoma: Hii ni barabara ya Mpunguzi iliyopo jijini Dodoma ni barabara ambayo yanapita magari kuelekea mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya na mikoa mingine.
Ukipita kwenye barabara hii utakutana na...
Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.