Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wadau kuna clip ya jamaa alikuwa kwenye kikao tume ya mipango amemwaga nondo, Kitila Mkumbo anabaki akitikisa kichwa. Tunakwama wapi kuwatumia hawa?
1 Reactions
8 Replies
415 Views
1. Imagine usalama wa taifa wanalinda taifa linaloonekana lenye ardhi na roho za watu alizoziumba Mungu. 2. Dini kwa maana ya mashehe mapadri na wachungaji wanalinda roho Imani upepo...
1 Reactions
8 Replies
307 Views
Ni aibu sana au kukuta mtu jasiri akitamka kuwa mizozo na kushindwa kuelewa ni unyumba. Shida hii inaweza kuwa kwa mwanaume au mwanake kila mtu kuwa na sababu zake mfano utafutaji,kukosekana kwa...
2 Reactions
5 Replies
180 Views
Manispaa ya Morogoro inaongoza kwa kuwa na huduma mbovu za Barabara nje ya mji na Maji. Nje ya Mji ndiko wanakoishi wakazi wengi sio hapo mjini kati lakini mmeshindwa kuwatendea haki. sijui...
0 Reactions
5 Replies
468 Views
Sura ya mji wowote hujionesha kwenye maeneo makuu ya kibiashara (business center), soko kuu na stendi kuu ya mabasi... Kwa wakazi wa Tabora na wasafiri kama mimI mnaofika ktk mji huu wa Tabora...
0 Reactions
7 Replies
187 Views
Stori ni nyingi hadi we mwenyewe unaweza kuhisi umerogwa kweli. Ipi ni stori ya ukweli ya uchawi wa kurogana na mambo ya kutupiana laana Karibuni
8 Reactions
51 Replies
1K Views
Wakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho. Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala. Don't hustle in vain nigga Pray...
35 Reactions
131 Replies
4K Views
Salaaam... Tupo katika kipindi ambacho Waislamu na Wakristo kwa pamoja tupo katika mfungo. Hata hivyo ndani ya kipindi hiki, si wote tutafunga/ tunafunga na hii ni kutokana na sababu mbalimbali...
2 Reactions
11 Replies
151 Views
PAPA Francis anapigania maisha huko ICU yaani hataki kwenda mbinguni [emoji1787] Izi DINI sometime zinachanganya sana sasa papa hataki kwenda mbinguni nani anataka? kama papa hataki?... Kwaresma...
33 Reactions
107 Replies
2K Views
  • Redirect
Wadau hamjamboni nyote? Kwa mujibu wa wasifu wake rasmi mwendazake hakuwa daktari bingwa wa mifupa Bali alikuwa daktari bingwa wa upasuaji (surgery) na siyo. Kozi ya mifupa alisoma na kuhitimu...
0 Reactions
Replies
Views
Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho. Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂 Kama maisha yako ni ya kiroho...
9 Reactions
12 Replies
235 Views
Wiki mbili zilizopita kuna Kijana (Jina kapuni). Alipigwa 100k. Kwenye mchezo huo kulikuwa na kete tatu moja ilikuwa na picha na ziingine mbili hazikuwa na picha, Sasa Bwana si dogo...
4 Reactions
108 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewaamuru watendaji watatu wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa Kikao cha Kamisheni cha Mkoa (RCC) baada ya kutoridhishwa...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
kwema natafuta ndonga kali ya kuvimba nayo mjini ya tah million 60-80 mwenye nayo aweke mawasiliano au atupiemo ka picha
2 Reactions
10 Replies
186 Views
Unapoamua kumfanyia wema kiumbe mwanamke basi jitahidi sana umfanyie kwa kiasi, usijitoe saaana .utakapoamua kumnunulia gauni la laki mbili basi hakikisha wewe unavaa kiatu au saa yenye thamani...
4 Reactions
30 Replies
616 Views
Njoo Bongo, Kuna mapambio Kila siku , Si Wanawake Si Wanaume wa bongo walioko vyaman wao wameamua kua machawa Pro Max . Na kweli bana,Uchawa Kwa Bongo unalipa. Wao wana msemo wao ukitaka kutoka...
2 Reactions
5 Replies
138 Views
  • Redirect
Mzee Professor Philemon Sarungi Amefariki jioni ya Leo. Professor Sarungi ambae alishika nyadhifa mbalimbali serikalini Kama Waziri WA Afya, Waziri WA Ulinzi, na Ukuu wa Mikoa, alikuwa mwanachama...
0 Reactions
Replies
Views
Katika pitapita zangu mjini Mwanza, nimeona barabara kuu mbili zote zina wakandarasi zikiboreshwa kutoka njia mbili mpaka nne, na inasemekana wanaacha nafasi kubwa katikati Kwa ajili ya mwendo...
1 Reactions
11 Replies
272 Views
Familia mbili za Wastaafu wa serikalini ambao walikuwa wakiishi katika nyumba za Wakala wa majengo (TBA) jijini Arusha wanakumbwa na hali ya sintofahamu baada shirika hilo kuwafurusha kwa kutoa...
1 Reactions
2 Replies
188 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…