Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili...
7 Reactions
14 Replies
293 Views
Shura ya Maimamu Tanzania MAZISHI YA SHEIKH MWENYE UMRI MKUBWA ALIYEFIA GEREZANI Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa jana tarehe 20/12/2024, saa 11:00, jioni katika makaburi ya...
2 Reactions
9 Replies
955 Views
Wakuu Katika kuunga mkono juhudi kampeni ya kuhakikisha watanzania wanatumia nishati safi na kuachana na matumizi ya mkaa, kampuni ya Alka Charcoal imeunga mkono juhudi hizo kwa kuzalisha mkaa...
3 Reactions
2 Replies
124 Views
Diwani wa kata ya Katangara Mrere, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro Venance Malleli, ameishukuru serikali kwa kukamilisha Miradi Mbalimbali ndani ya Kata hiyo ikiwemo Mradi wa Daraja la Mwamba...
1 Reactions
3 Replies
100 Views
Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 ambalo linatarajiwa kugharimu...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameonya vikali wale wote waliovamia maeneo ya wananchi na yale ya Serikali katika Kata ya Mamire, akiwataka kuyarejesha mara moja kabla...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Rais wa Jamuhuri wa muunngano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga,Same,Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300 utakao wanufaisha wakazi wa...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Nimesikia kuwa benki kuu ya Tanxania imeanza utaratibu wa kununua na kuhifadhi dhahabu. Walianza mwaka jana na mpaka sasa wamenunua tani 2.6 kwa bilioni 570. Lengo lao ni kununua tani sita kila...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
Wakuu najiuliza swali hapa, hivi miandiko ya Madoctor hadi leo imeshasababisha vifo vya watu wangapi kutokana na uzembe wa kutokuandika vizuri, Kila doctor mwandiko wake anaweza kuusoma yeye...
5 Reactions
17 Replies
249 Views
Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core...
4 Reactions
19 Replies
253 Views
Nimeipa kazi ya kutengeneza picha ya sura yangu!! Nilikua naijaribu tu maana hatujawai onana😅😅
2 Reactions
12 Replies
387 Views
Anonymous
Habari wadau, Upande wangu niko salama naendelea na vizuri na swaumu ya Ramadhan, japo janga la maji ni kubwa hasa kwa wakazi wa maeneo yanayohudumiwa na mto Ruvu juu kwa huduma ya Dawassa...
0 Reactions
0 Replies
38 Views
..Jenerali Jacob Mkunda alipokwenda kutoa pole kwa familia ya marehemu Sajent Mohamed Abdala Suleiman. === "Mishoni mwa mwaka uliopita (2024) kikundi cha vijana wenye silaha wakijiita M23...
3 Reactions
95 Replies
2K Views
Jamaa anaonekana ni kama ana tatizo la kisaikolojia. Amekuwa akijirekodi na kujirusha katika mitandao ya kijamii akinywa pombe kali mbalimbali. Style yake akiweka chupa mdomoni hatoi mpaka...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Anonymous
Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi...
0 Reactions
17 Replies
972 Views
Wapendwa katika Kristo Tumsifu yesu Kristo... Nawakaribisha waumini wote wa kanisa Catholic na wengine wote wanaoshiriki mateso ya bwana Yesu kristo kwa kufunga na kujielekeza mbele zake MUNGU...
21 Reactions
112 Replies
20K Views
GTs, Naona kuna wizi unaendelea kwenye mizigo kwenye SGR. Kwenye ticket haioneshi kiwango cha uzito kinachoruhusiwa ila wapimaji ndiyo wanakadiria. Kibaya kabisa inaonekana ukila kilo inayozidi...
9 Reactions
53 Replies
1K Views
Just mention. You don't have to explain.
3 Reactions
7 Replies
162 Views
Habari za jioni mabibi na mabwana. Kama kichwa cha habari kinavyosema kuuliza si ujinga! Mimi ni muislamu ila hupenda kujua pia habari za watu wa dini nyingine! Swali langu ni kama ifuatavyo: 1️⃣...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…