International Forum

News and Stories from rest of the World
Nasrallah ameipa onyo Israel kuhusu vita inayotazamiwa kutokea baina ya Lebanon na Israel, lakini pia Hezbollah imetoa onyo kwa nchi ya Cyprus endapo itakubali kutumiwa na Israel katika vita...
6 Reactions
141 Replies
6K Views
Mchina ananitahidi lakini hawa jamaa ni ngumu Sana kuwapita Hiyo ni orodha ya market value ya baadhi ya Makampuni ya 🇺🇸USA
1 Reactions
2 Replies
215 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya kabisa kutoka Tehran Serikali ya Iran imebadili gia angani. Sasa inafikiria kuwashughulikia moja kwa moja waliohusika na mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Hamas...
9 Reactions
65 Replies
3K Views
Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye...
24 Reactions
225 Replies
7K Views
Mchambuzi wa Jeshi la Marekani, Korbein Schultz amekiri mashtaka ya kula njama ya kuuza siri za kijeshi kwa China, ikielezwa alilipwa Dola 42,000 (Tsh. Milioni 113.3) ambapo hukumu yake...
4 Reactions
59 Replies
3K Views
Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza. Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila...
13 Reactions
137 Replies
9K Views
Huyu anatajwa kuwa ni second in Command na tayari shura ya maulamaa imeshakaa na kumpitisha anatarajiwa kutangazwa muda wowote kuanzia sasa. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
0 Reactions
11 Replies
436 Views
Houthis say they fired ballistic missile at Tel Aviv airport. LIVE updates: aje.io/mycvl0 The Yemen-based group’s military spokesperson says it launched an attack on Ben Gurion airport during the...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
New ‘bunker buster’ bombs used in Beirut attack Bomu limeetoa moshi wa rangi ya Chocolate - This is why Iran hataki War na Israel anawatumui Arabs wajinga wake. Bomu hilo halijawahi tumika kabla...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon. Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana...
14 Reactions
46 Replies
3K Views
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache...
25 Reactions
110 Replies
3K Views
Naona Firstpost hawataki mchezo. Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
Mkuu wa Hezbollah, Hassan Nasrallah amepotezwa Kiongozi huyu mwenye ushawishi mkubwa (charsmatic leader) ameiongoza Hezbollah kwa miaka 33 yaani kutoka 1992 hadi 2024. Alikuwa nyota kuu ya...
0 Reactions
6 Replies
584 Views
Aiseeh! Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima. Sio China...
4 Reactions
53 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12 Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote Tutakujuza Live UpdateFrom the Liveblog...
3 Reactions
66 Replies
2K Views
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameitaka jumuiya ya kimataifa kufikiria kufanya marekebisho na pengine kufuta madeni ya nchi za Afrika. Akihutubia kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa...
1 Reactions
7 Replies
295 Views
Israel ambaye alikuwa anajisifu yeye ni super power hakuna hata risasi inaweza kupenya, leo hi analia na kupiga kelele Iran anataka kunipiga namba mnisaidie😄 Iran kafanikiwa kushinda vita kabla...
17 Reactions
77 Replies
4K Views
Naye hakusazwa, alikua kwenye harakati za kuratibu shughuli za magaidi wa Waislamu, Hezbollah. Kawahishwa kwa mabikira. Aise Myahudi namba mbaya. -------++ Iran Revolutionary Guards' deputy...
4 Reactions
9 Replies
518 Views
Ni rasmi ameuawa jana kwenye Makao makuu ya Hezbollah -Beirut kwa mashambulizi ya ndege za F35 ambapo eneo alilokuwemo lilipigwa na bomu la bunker lenye pound tani 2000. Hassan Nasrallah...
6 Reactions
84 Replies
4K Views
Maoni halisi nje ya utawala wa Iran na News za kidomodomo Aljazeera na Press TV.. Mioyo wa Muslims The assassination of Mohammad Reza Zahedi, prominent commander of the IRGC and head of its...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom