Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na...
Anaitwa Mohammed hussain srur, chief commander wa drone wa Hezbollah.
Kauwawa na jeshi la anga la Israel.
https://youtu.be/NLnHLkpYehk?si=IK1JJeqw15j168Px...
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!
Kifaa hiki huitwa pager...
Hezbollah walikuwa wakitumia simu kwa mawasiliano yao. Hassan Nasrallah akawaonya Hezbollah kutotumia simu kwani kuna ueezakano simu hizo zikawa compromised na Israel.
Baada ya onyo hilo ndiyo...
[emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]Hii ni vita kamili, mstari mwekundu ulikua hakuna kwenda Beirut mji mkuu wa Lebanon au kwenda Telaviv mji mkuu wa Israel au Haifa
Mstari mwekundu...
Israel has killed 450 Hezbollah terrorists since outbreak of fighting after October 7th, including half of the Lebanese terror group’s officers on the front.
---
IDF has killed half of Hezbollah...
Nimepata kupitia speech ya rais mpya wa Iran, wakati nikiendelea kumfuatilia hapo awali alikuwa nani na alitokea wapi.
Nilichogundua anajitahidi sana katika maelezo yake kujitofautisha na...
Wakuuu hizi ndio habari duniania
Israel 🇮🇱 kupitia kikosi makini kabisa
Imelipua makao makuu ya Isbollah mjini Beirut Lebanon 🇱🇧
Ikaenda na kichwa cha mkuu wao leo
Huku Waziri mkuu mwenye akili...
Kamanda Mkuu wa operations za kijeshi wa kundi la Hezbollah ndugu Ibrahim Aqil ameuawa mchana leo kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Israel Jijini Beirut nchini Lebanon.
=======
Hezbollah...
Leo Jumatano, kundi la Hezbollah limesema kuwa ilirusha kombora la masafa marefu lililolenga makao makuu ya shirika la ujasusi la Israeli, Mossad, karibu na Tel Aviv.
Hii ni mara ya kwanza kundi...
Chanzo cha picha,AFP
19 Septemba 2024
Takribani watu 20 wameuawa na zaidi ya 450 kujeruhiwa na wimbi la pili la milipuko kutoka kwenye vifaa vya mawasiliano visivyo na waya nchini Lebanon, wizara...
Mwili wa Kanali wa Guinea ambaye alitoweka karibu mwaka mmoja uliopita uliwasilishwa jana kwa mkewe katika mji mkuu wa Conakry, mmoja wa Wanasheria wao alisema.
Kanali Celestin Bilivogui ni afisa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.
lakini kikubwa...
Chonde chonde Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali
Ni Wazi Israel haitarudi nyuma hivyo twawasihi Wakati mataifa makubwa duniani yanaondoa Watu wao nanyi rudini nyumbani
Ahsanteni...
Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii...
Baada ya mashambulizi yasiyokoma kutoka Lebanon kwenda Israel, siku ya jana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na maafisa wa kijeshi na usalama na kuja na uamuzi wa kuanza...
Viongozi wanaoheshimika wamekwisha Afrika. ANC kitasambaratika kwasababu ya kukamiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza a vicious cycle. Ramaphosa na mbeki wanamsulubu legendary mwenzao Zuma...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za muda mrefu uliopita ni kuwa Jeshi la Israel IDF limeanza kuitembezea kichapo Lebanon kujibu mapigo dhidi ya shambulizi la magaidi ya Hezbollah.
Taarifa kamili...
NBC News wametangaza kifo cha Dame Maggie Smith, kilichothibitishwa na watoto wake na mratibu wa habari. Wanawe, Chris Larkin na Toby Stephens, walitoa taarifa ya pamoja wakisema:
"Kwa huzuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.