International Forum

News and Stories from rest of the World
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus...
27 Reactions
1K Replies
39K Views
Baada ya vita kali toka mwaka 2013 hatimaye refinery ya Dangote imeanza kazi. Mwaka 2013 Dangote alitangaza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta. Gavana wa jimbo alilotaka kujenga akataka rushwa...
34 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300. Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya...
14 Reactions
162 Replies
6K Views
Inaaminika siku za kuishi Zelensky zinakaribia kufika ukingoni. Anasema mchambuzi mwandamizi wa maswala ya kivita na siasa za kimataifa Scott Ritter, ambaye nijasusi mstaafu wa US. Ritter...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkutano wa Kilele wa Zama Zijazo wa Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulipitisha “Mkataba wa Zama zijazo”, ambao unaelezea muhtasari wa maendeleo ya siku zijazo duniani. Lengo la Mkataba huo ni...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Zaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa. Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi Toka Jana...
3 Reactions
22 Replies
785 Views
Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah. Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena, Hezbollah...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Marekani tayari ina jumla ya askari 400,000 maeneo ya mashariki ya kati pamoja na meli kadhaa za kivita zilizowasili hivi karibu muda mfupi kabla Israel kuanza mashambulizi makali nchini Lebanon...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Ghala hilo kubwa lilikuwa limejengwa sehemu yenye makazi ya watu kwajili ya kutunzia silaha za kuishambulia Israel. Baada ya kushambuliwa, silaha hizo zimeanza kufumuka bila mpangilio, nyumba...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika...
1 Reactions
8 Replies
815 Views
Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi...
0 Reactions
4 Replies
716 Views
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN Rest in Peace aliekuwa Kamanda wa Hezbollah kikosi cha mizinga, Ibrahim Muhammad Qabisi, ameuawa akiwa ndani ya nyumba aliyojificha jijini Beirut, Lebanon...
10 Reactions
72 Replies
2K Views
Baada ya makambi ya jeshi la Israel kushambuliwa wananchi wote wametakiwa kukaa karibu na mahandaki yao kuhofia maroketi zaidi. Hali hiyo imetokea kwenye maeneo kadhaa ya Israel hasa kaskazini...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Watu Watatu, wakiwemo Waziri wa zamani na Mkuu wa Ulinzi wa Rais Patrice Talon, wamekamatwa kwa tuhuma za kupanga mapinduzi, huku uchunguzi mkali ukiendelea ili kuwabaini Wahusika wengine...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Imefikia kipindi hata baadhi ya wafuatiliaji wa channel kama Al Jazeera wameamua kuyatoa ya moyoni kwamba wamechoka kudanganywa, Uhalisia upo tofauti kabisa Hii ndio hali ya sehemu ambayo...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨 Jeshi la Russia limetungua makombora 13 ya Israel yaliyolenga mji wa Tartus ilipo Naval Base ya Russia 🇮🇱🇸🇾🇷🇺 Russia shoots down Israeli missiles? Israel launched missiles to attack...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: One of those named by Hezbollah, Ahmed...
15 Reactions
122 Replies
5K Views
Viongozi maarufu wa kidini nchini Iraq ambao wamebaki kwenye nafasi zao tangu Marekani ilipoivamia na kuua maelfu Iraq wamesema Israel isitishe mara moja vita Lebanon na Gaza. Viongozi hao ni...
2 Reactions
22 Replies
895 Views
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na...
11 Reactions
104 Replies
4K Views
Je, DRC imeona ni bora kuwa na marafiki wachache wenye tija kuliko kuwa na marafiki wengi wasio na tija, au ipoje? Habari kamili. ========== Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imetishia kujiondoa...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom