Wanaukumbi.
Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu uwongo wa Israel:
Adui alidai kulenga roketi 6,000 na drones na alikuwa na furaha kuzuia mashambulizi. Mawazo yao ya Hollywood hata yaliwafanya kudai...
Hezbollah ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1985 huku lengo kuu ikiwa ni kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya utawala wa Israel kuivamia Lebanon.
Hezbollah ina askari ambao ni muslims, shia, sunni na...
Jamaa wanajua wanawindwa na Israel halafu wanakula kula hovyo hovyo, haya wamewahishwa kwa mabikira....
The poisoning appears to have targeted the leadership, as all four of those killed have...
zamani tulisikia mtu kajilipua kwenye daladala huko Tel aviv, mtu kajivika mabomu na kujilipua mtaani.
Lakini hadi sasa ni karibu miaka 10+ sijawahi kusikia kuna mtu kajilipua huko middle east...
Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.
My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kutokea Lebanon
Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya...
19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024
LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH:
Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks
Israel has...
Hezbollah wametuangusha sana, pamoja na mikwara yao yote wamechakazwa nje ndani kwenye mfumo mzima wa uongozi, anaehema ni moja tu kati ya 11 waliomalizwa akiwamo kiongozi mkuu, huo msako...
Habari wanajf.
Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.
Lazima waafrika tuamke na...
Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri.
Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule...
Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo...
Israel imeandaa jeshi na imepeleka jeshi,vifaru na mifumo ya roketi mipakani na Lebanon.
Na jeshi tayari limeshasogea kilometa nyingi zaidi ya Shebah farms.
Ni kilometa chache tu zimebaki kwa IDF...
Hizo propaganda zenu baada ya kushindwa Urusi mumehamia Mashariki ya kati? Ukifungua page ya website ya bbc swahili kila kukicha Isreal hivi hivi huku ikishindwa kuandika kabisa mafanikio ya...
Wanaukumbi,
"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia...
Serikali ya Iran ipo kwenye khofu endapo watajaribu kulipiza kisasi dhidi ya Israel baada ya kauli ya kibabe ya Netanyahu. vita inaweza kuwa kubwa na Tatizo la Israel huwalenga kwanza Viongozi na...
Kiongozi mkuu wa Kikundi/chama cha Kigaidi cha Hezbollah, yupo salama na mabikra 72.
Ana himiza baada ya kugundulika njia rahisi ya kwenda kupokea hao mabikra ni kuwachokoza watoto wa Yakobo...
Kila siku humu ni mashindano tu ya kuvutia utukufu wa Mungu upande wao. Waisrael wa Simiyu wakinadi kwa nguvu zote jinsi Wana wa Israel walivyobarikiwa na kwamba ole wake kwa yeyote atakayewapinga...
Ukisoma maoni ya wabeba box uko U.S.A. wengi Wana chuki na Trump. Na hao hao ndo wanadanganya hapa JF kuwa Kamala Harris atashinda kirahisi sana ukweli ni kwamba mchuano ni mkali kabisa.
Harris...
Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.