Wadau hamjamboni nyote?
Amefariki Dunia akifanyiwa upasuaji wa uvimbe kwenye ubongo
Aliongoza Idara maalumu ya ujasusi ya Jeshi la Iran IRGC almaarufu Unit 4000
Alihusika kuratibu mauaji yote...
Nikijaribu kuangalia Sudan
Wanavyomalizana
Congo wanavyomalizana
Ethiopia wanavyomalizia
Kule Chad nako wameanza kumalizana
Narudi kwa vita vya Ukraine wanavyomalizana na Russia
Nirejee...
Play video, "Watch: Small explosion in Lebanon supermarket", Muda 0,22
00:22
Maelezo ya video,Tazama: Mlipuko mdogo katika duka la jumla la Lebanon
20 Septemba 2024
Wakati umati wa watu...
#Alternative News#
Majority of Tanzanian citizens have ignored the call from Tanzania main opposition leader to protest against President Samia Suluhu Hassan.
The incumbent President Samia is...
Chanzo cha picha, Getty Images
Magazeti ya Uingereza na Kiarabu bado yametawaliwa kwa kiasi kikubwa na taarifa za milipuko ya vifaa vya mawasiliano vya 'pager' nchini Lebanon, huku yakijadili...
Trump na Kamala Harris wanatofautiana kuhusu Siku ya Mdahalo wa Urais. Timu ya Kamala inataka Septemba 10 katika Studio za ABC, huku Timu ya Trump ikitaka ufanyike Septemba 4 katika Studio za Fox...
Habari ya mjini ndio hio Israel kunawaka moto na wanazuia TV zisionyeshe wa Kwanza Al Jazeera kavamiwa office zake.
https://youtu.be/gge7jCaNeak?si=5UYU-0btNIMmIjBz...
Vikosi vya Israel vimevamia ofisi za shirika la utangazaji la Al Jazeera huko Ramallah, katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na kuamuru kufungwa kwa muda wa siku 45.
Wanajeshi wa...
Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama.
Salamu hizo kwa dunia nzima...
Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa...
Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake.
Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa...
Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
Katika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza...
Israel imeanzisha mashambulizi kadhaa kusini mwa Lebanon katika siku ya mwisho, likiwemo lililomuua kamanda mkuu wa Hezbollah.
Mohammed Qassem Al-Shaer, kamanda wa kikosi cha wasomi wa Hezbollah...
Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu.
Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani...
Wadau hamjamboni nyote?
Myahudi hajapoa kama unadhani hivyo nikupe pole
Mara tu baada ya Sabato ya kiyahudi kuisha IDF wamefanya mashambulizi mapya makali usiku huu yakilenga shabaha maeneo...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imetekeleza mashambulizi makubwa ya anga kusini mwa Lebanon, ikibainisha kuwa ndege zake za kivita zimepiga zaidi ya roketi 100 za Hezbollah na maeneo mengine ya...
Siku droni ya houthi ilipoweza kupenya mpaka TelAviv na kupiga jengo liliosababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi kadhaa,papo kwa papo asubuhi yake tukasikia bandari ya Hodeida imeshambuliwa.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.