Shambulizi la Ukraine, lasababisha maafa Russia
19 Septemba, 2024
===
Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Ukraine, la Jumatano kwenye ghala la Russia, limesababisha mlipuko kama wa tetemeko...
Hassan Nasrallah alipitisha azimio kuwa mawasiliano yote ya washiriki wa kikundi hicho na pia baina yao na washirika wao yasiwe kwa simu za kawaida kwa kwani Israel watayadaka. Pagers zinaaminika...
Israel wana tabia moja. Wakifanya yao wananyamaza. Huwa huwakuti wanazungumzia kitu. Wananyamaza tu kama si wao. Huwa hawaelezi wamefanyaje. Hata muwatukane muwalipue muwafanyaje. Wananyamaza tu...
Vuguvugu la siasa limepamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 05 november huko Chini marekani, Pia tukitarajia uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika hapa Tanzania mnano tarehe 27 november...
Nakumbuka lile tukio la kulipuliwa Ubalozi wa Marekani maeneo ambayo baadae Hamza naye alifanya Ugaidi wa kuuwa Walinzi wetu na Yeye akauwawa
Natafakari tu kama Osama bin Laden na Mullah Omar...
Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.
Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw...
Huwa naamini smarphone ni kama bomu tu, hao wazungu wanaweza kutrigger hiyo lithium battery na kukulipua muda wowote kama wanashida na wewe. Hata Hesbullah walijua hilo wakabuni kutumia simu za...
Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon.
Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah...
Mkuu ukiangalia vizuri utagundua awa jamaa ni ndugu tu
Ona.
Wao wanaita Mungu el (wayahudi)
Wapalestina wanaita Mungu alha
Awa vita yao haitoisha kabisa mpaka Mungu arudi labda.
Maana...
Baada ya kuona Israel ina uwezo mkubwa wa kudukua mawasiliano ya simu, Hezbollah walichofanya ni kufikia uamuzi wa kununua vifaa maarufu vilivyotumika miaka ya 90 vinavyoitwa "pagers", vinatumia...
Wanakumbi,
⚡️‘Asubuhi ngumu’ nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike mjini Rafah jana.
9 kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na majeraha makubwa
Katika...
1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.
2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.
3. Wakati dunia...
Hello
Siasa za Bongo buyibayiii
Nitajikita kuangalia Vyombo vya habari za Kimataifa nikikutana na habari za Bongo huko nitaweka msisitizo maana itakuwa imehit kwenye jamiii.
Vyombo vya habri ni...
VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo...
Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran.
_----------+
Iranian...
Furaha imetanda katika Kaya moja nchini Nigeria ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amejifungua watoto 6 ikiwa watatu wa kiume na watatu wa kike baada ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu...
Barua ya kiongozi wa Hamas iliyopatikana na televisheni ya Houth imewapongeza wapiganaji wenzao wa Houth kwa kuweza kufika mpaka ndani kabisa ya Israel.Barua hiyo aliielekeza kwa kiongozi mwenzake...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Taiwanese pager manufacturer says the beepers that detonated were made by European licensee
By Reuters
Taiwan’s Gold Apollo didn’t make the...
Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine....
Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.