International Forum

News and Stories from rest of the World
Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel...
2 Reactions
8 Replies
703 Views
Ryan Wesley Routh: Picha na Reuters. Shirika la upelelezi la FBI laendelea na uchunguzi wa jaribio la kumuua mgombea wa kiti cha uraisi wa Marekani bwana Donald Trump katika viwanja vya mchezo wa...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na...
10 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwa sisi tunaofutilia siasa za dunia kwa maslahi mapana ya nchi yetu, macho yetu yanaangalia kwa umakini kampeni za urais zinazoendelea Marekani. Siasa ina mambo mengi. Kuna michezo michafu pia...
0 Reactions
7 Replies
690 Views
Serikali imetangaza kurejea kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini humo ikiwa ni ndani ya miezi miwili tangu iliporipotiwa kumalizika kwa maambukizi. George Jobe, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa...
1 Reactions
6 Replies
501 Views
Mtu mmoja aliyekuwa na silaha amesababisha maafisa wa usalama wa Donald Trump kupiga risasi Hata hivo walinzi maalumu wa Trump walijibizana Kwa Risasi, haijafahamika mpaka Sasa ikiwa Wamemuua...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
Jana matokeo ya uchaguzi yalipotoka ilitangazwa kuwa Nicolás Maduro ameshinda tena kiti cha uraisi nchini Venezuela. Akimshinda mpinzani wake Edmundo González ambaye anaungwa mkono na Marekani...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Jeshi la Israel limethibitisha kwa mara ya kwanza habari zilizoripotiwa na Channel 12: mateka Ron Sherman, Nick Beizer, na Elia Toledano waliuawa kutokana na mashambulizi ya...
2 Reactions
5 Replies
443 Views
Marekani na Washirika wake wamepeleka zana nyingi mashariki ya kati kwa lengo la kuikinga Israel dhidi ya Makombora toka Iran na Yemeni leo tumeshuhudia Israel imepeta kipigo cha aibu makombora...
17 Reactions
159 Replies
5K Views
BREAKING: 🇾🇪🇮🇱 Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen lilipiga Tel Aviv. Lengo...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Hili ni shambulizi kubwa zaidi kufanywa na Kombora na kuleta uharibifu mkubwa hivi. Hili kombora limeleta maafa makubwa sana upande wa Israel inaripotiwa kuna majeruhi wengi sana na vifo bado...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Yemen yathibitisha ilitumia kombora la hypersonic ambalo ni ngumu kulitungua Waisrael zaidi ya milioni 2 wakimbilia mashimoni BREAKING: [emoji1267][emoji1134] Yemen confirmed that they used a...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Tujifunze kidogo kuhusu taifa LA Iraq🇮🇶 Iraq ni taifa lenye history kubwa kuliko matafa mengi duniani Wanadamu wa kwanza (Adam na Hawa)waliishi hapa katikati ya mito ya Tigris na Euphrates...
2 Reactions
4 Replies
406 Views
Mambo yamekuwa mambo ! Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
Askari kadhaa wa Ukraine wameonesha dalili za wazi za kujuta na kulaumu uamuzi wa kupelekwa huko wakati wakianza kuzingirwa na majeshi ya Urusi. Kwa mujibu wa askari hao ambao hata majina yao...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
Ijumaa 13 September 2024 Moroni, Comoros Rais Azali Assoumani mwenye umri wa miaka 65 amenusurika shambulio la jaribio la kumuua wakati akihudhuria maziko ya kiongozi mkubwa kidini siku ya...
4 Reactions
16 Replies
831 Views
Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa...
3 Reactions
14 Replies
702 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Netanyahu to make five-day jaunt to New York for UN speech By Lazar Berman Follow Today, 2:32 pm Prime Minister Benjamin...
0 Reactions
1 Replies
295 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Advertisement Live Update From the Liveblog of Sunday, September 15, 2024 IDF reportedly tells families it accidentally killed...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Back
Top Bottom