International Forum

News and Stories from rest of the World
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Bwana Gueteres amerudia kwa...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Watu zaidi ya laki moja waliohamishwa kaskazini ya Israel kwa hofu ya Hizbullah sasa wamekuwa ni ajenda kubwa inayojadiliwa na viongozi wa nchi hiyo. Kwanza watu hao wamekuwa mzigo kwa uchumi...
3 Reactions
18 Replies
817 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hali Bado ni tete kufuatia shambulizi la kushangaza la Israel huko Lebanon Serikali ya Iran imetuma kikosi maalumu cha madaktari bingwa wa macho kusaidia wahanga wa...
3 Reactions
4 Replies
596 Views
Mwanamke mmoja nchini India amewaacha watu vinywa wazi baada ya kuomba talaka kwa mumewe ikiwa ni siku siku 40 tu baada ya harusi yake, akidai kuwa mume wake hapendi kuoga na hawezi kuendelea...
4 Reactions
3 Replies
421 Views
Ni wazi kuwa nchi ya Sweden ipo kwenye mkakati wa kupunguza idadi ya wahamiaji wanaoishi nchini humo na hii ni baada ya nchi hiyo kutoa kiasi cha dola za Marekani 34,000 (Tshs Milioni 92) kwa kila...
1 Reactions
8 Replies
688 Views
Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema...
15 Reactions
112 Replies
3K Views
| Jumuiya ya Madola ya Puerto Rico, Estado Libre Asociado de Puerto Rico, Commonwealth of Puerto Rico au Free Associated State of Puerto Rico Puerto Rico ni kisiwa na mkusanyiko wa visiwa kadhaa...
11 Reactions
37 Replies
3K Views
Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa 2024 ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing, na kupitisha "Azimio la Beijing" na "Mpango wa Utekelezaji (2025-2027)"...
3 Reactions
3 Replies
444 Views
Njaa isikie kwingine tu. Ikikukumba unaweza ukamkula hata mkeo [literally 😀]. Sina uhakika na vyakula vya huko kusini mwa Afrika. Labda nyama ya tembo ni moja ya delicacies pande hizo...
0 Reactions
10 Replies
547 Views
1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina. 2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola ya Palestina. 3. Kabla ya Ufalme wa...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza. Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa; Tunduma...
13 Reactions
113 Replies
2K Views
Ni rahisi sana kuhubiri kuhusu free market (Biashara Huria) iwapo upo kwenye advantage. Lakini ukiwa unajitafuta biashara huria ni ugonjwa mbaya sana. Nchi za magharibi zimehubiri sana kuhusu...
14 Reactions
36 Replies
1K Views
Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic, Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi...
3 Reactions
25 Replies
810 Views
Mgombea Urais wa Marekani Rais mstaafu Donald Trump amekuwa consistent na hoja yake (pia hajaikanusha)aliyoitoa wakati wa mdahalo kwamba katika mji wa Springfield Ohio wananchi wanakula paka na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Benjamin Netanyahu amezidi kukasirishwa na usugu wa kimapigano wa Houth ambao hawana hofu kabisa kulenga shabaha maeneo nyeti ya Israel. Bila shaka masaa machache yajayo dunia inaweza ikashuhudia...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Mzuka umepanda. Sio mbaya kujifunza kwa aliye Fanikiwa. USA 🇺🇸 wamepeleka kikosi hiko ili kupata uzoefu wa kupambana na drone na Electorinical war fare. Zama za kupigana vita Ofisini...
9 Reactions
99 Replies
3K Views
Uvamizi huo umefanywa na vikosi maalum vya Israel kwenye "kituo cha kutengeneza makombora cha Hezbollah" nchini Syria. Serikali ya Israel haijasema lolote kuhusu operesheni hiyo ambayo kwa mujibu...
15 Reactions
85 Replies
2K Views
1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
For many years, nuclear-escalation theory has believed that countries with atomic weapons were mostly exempt from attack because an aggressor could trigger another world war. Even relatively small...
2 Reactions
6 Replies
562 Views
Back
Top Bottom