Wadau hamjamboni nyote?
Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli kuwa hali bado ni tete huko Iran
Huku hofu dhidi ya Israel ikiendelea kumeibuka tatizo jipya tena zito
Ziwa kubwa kabisa huko nchini...
Huyu mzee na lile kanzu lake alikuwa mstari wa mbele kuagiza magaidi ya Waislamu yashambulie Israel, sasa wanapata majibu na bila aibu analalamika....
________
Jerusalem Post breaking...
Maisha ya Gaza ni magumu mno.
Suluhisho la Gaza sijui liweje. Wapalestina wanataka watambuliwe kama taifa huru, lakini hapo hapo wanajiapiza kulifutilia mbali Taifa la Israel.
Kutoka vita vya...
UPDATE: Jana zimelipuka pager, leo zimelipuka radiocall
ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu x2
umueleze afahamu kwamba nnapata tabu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,
Sehemu kubwa ya mission...
Siku mbili baada ya mashambulio ya kielektronik nchini Lebanon yaliyofanywa na Israel na kufuatiwa na mashambulizi ya maroketi nchini Lebanon,hizbollah nao wamefanya shambulizi la aina yake...
Vita vya Urusi na Ukraine na vile vya Israel na wapalestina pamoja na rafiki zao vinazidi kuikamua Marekani na kuipokonya ile sifa yao ya kuwa taifa kubwa.
Imeelezwa kuwa karibuni hivi nchi hiyo...
Hezbollah wamethibitisha kuuwawa kwa kamanda wao muhimu ambaye ni moja ya waasisi wake na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah , Fuad Shukr katika shambulizi la anga la...
Mzuka wanajamvi.
Bosi au mkuu wa kundi la kigaidi Hezbollah Hassan Nasrallah aliwaonya na kuwatahadharisha magaidi wenzake Hezbollah waache kutumia Simu janja wazitupe ama kuzifungia kwenye...
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa...
Waziri wa Ulinzi wa Israel amekiri kuwa wanajeshi wa Urusi nchini Syria mnamo may 13 kwa mara ya kwanza waliamua kuitageti na kuishambulia ndege vita ya Israe F-35, ile midoli ya Marekani ambayo...
Kama hizi habari zitathibitishwa itakua ni pigo kubwa mno kwa mabeberu nimequoute kutoka kwenye source muhimu za habari
URGENT: Initial reports indicate that the Yemeni Armed Forces have...
Hizbullah walifanya shambulizi hilo katika kujaribu kulipa kisasi milipuko ya vifaa vya mawasiliano,iliyoondoka na uhai wa watu takribani thelathini mpaka sasa na wengine wakiwa na halo mbaya...
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui...
Rwanda wanampango mpaka 2026 wawe wanafua umeme kupitia nyuklia, Uganda pia wanampango mpaka mwaka 2040 wawe wana uwezo wa kuzalisha umeme kupitia nyuklia, Kenya wao ni mpaka 2035. Sisi...
Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah....
=============================
Iran, an ally...
Wakati wa Mkutano wa Kilele wa Mwaka 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing, Kampuni ya Teknolojia ya Baifenbi ya China ilisaini makubaliano na Wizara ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Balozi huyo nayeye alikuwa na karedio kamasiliano yaani pager na kilipobipu kwa takribani sekunde 10 akakisogeza usoni Ili asome ujumbe na Mlipuko ukatokea na kuondoka na...
Hezbollah wamesema Wanachama wao Zaidi ya 28 wameuwa baada ya Simu na laptop zao kuwalipukia
Wameonya kwa kuwa Vita vimeingia Awamu ya Kupiganwa kisayansi basi wasilaumiwe popote duniani Kisasi...
Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.