Kuanzia utawala wa George Bush Snr hadi utawala wa sasa, takwimu zinaonesha kwamba Democrat wametengeneza ajira nyingi kuliko Republican
Utawala wa Bill Clinton ulitengeneza ajira 23 million...
Askari wa israel aliyeenda mapumzikoni morocco,amejikuta matatani baada ya wanasheria kadhaa wa morocco kumfungulia mashitaka ya jinai za kivita aliyotenda huko gaza.Mahakama ya morocco imeridhia...
Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel...
Meli moja ya kivita iitwayo USNS Big Horn imeharibika kama ambavyo inadaiwa picha zimekuwa zikirushwa mitandao kuifanya Marekani ianze kutoa taarifa ya tukio hilo.
Meli hiyo imepata athari kama...
Rais Biden wa Marekani ametumia Mkutano wa 79 wa UNGA jijini New York kuwaaga Marais wenzake
Marekani inafanya Uchanguzi mwaka huu na Joe Biden hatagombea
Soma Pia: Biden anasema aliondoka...
Hello friends am here to collect experience from those who tried to rich somewhere on their bussiness .How did you manage to have the money for a start up? welcome share with me please i need to...
Wanakumbi.
⚡️BREAKING:
Mji wa Haifa, kutoka mashariki hadi magharibi hadi kaskazini hadi kusini, uko chini ya makombora ya Hezbollah, ving'ora havikomi.
Zaidi ya walowezi 300,000 wamekimbia...
Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa anajutia kutokununua klabu ya Arsenal ambaye ni shabiki mkubwa wa Klabu hiyo kipindi ambacho thamani yake sokoni ilikuwa ni...
Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu...
Israeli Jets Landing on Cyprus after Lebanon Bombings
Hal Turner World
Fighter Jets of the Israeli Air Force are now landing at a reportedly BRITISH base on the island of Cyprus in the...
Mabaharia wote waliokuwa kwenye MV Tutor iliyopigwa na Houth hapo juzi na kusababisha tobo kubwa pamoja na moto wameondolewa kwenye meli hiyo ambayo imeanza kunywa maji.
Awali baharia mmoja...
Leo nilikuwa sehemu asubuhi. Kulikuwa na ubishani wa Mambo ya mpira. Akatokea shabiki wa Simba akasema ohh mmepiga bomu mortuary.
Akadai Ethiopia hawana kitu. Kwao kuna njaa, Uchumi wao...
Kuna baadhi ya vitu vinanichekesha na kunishangaza kuhusu vita vya israel
Wakirushiwa wao makombora na kuua baadhi ya watu israel, kuna kundi fulani linafurahi saana na kujidai kinoma
Akijibu...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wake huko Mashariki huku Hali ya Usalama ikiwa tete
Bado haijajulikana vikosi hivyo vya wanajeshi wake vinaenda kusaidia...
Nimeikuta mahali maelezo ninayodhani ni ya kisayansi zaidi kuelezea jinsi Pager hizo zinavyofanya kazi na zililipukaje. Habari ndiyo hiyo.
Soma: Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya...
Hezbollah in Lebanon has commenced a salvo of heavy missile launches against Israel. These are not rockets" but rather ballistic missiles.
One such missile is shown in the image above taking off...
Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana
Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana
Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida...
Jeshi la Israel limetoa ripoti yenye mkanganyiko baada ya Hizbullah kurusha maroketi mengi nchini humo.
Katika taarifa mpya jeshi hilo limesema mashule yote katika mji wa Haifa yatabaki yamefungwa...
Baada ya kupata ujumbe mfupi kwenye simu zao Kwa wakazi wote wa kusini mwa Lebanon baadhi ya raia wameanza kuitikia wito huo na kuanzia kaondoka.
Wakazi wote wameambia waondoke kwenye majengo...
Iran yabadili gia angani sababu kifo cha Rais wao Kwa ajali ya helicopter
Sasa Serikali ya Iran yaituhumu Israel kuhusika na kifo hicho
Yasema ilihusika kwenye ununuzi wa vifaa vya mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.