International Forum

News and Stories from rest of the World
Serikali ya Sudan Kusini imeahirisha uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Desemba 2024 hadi Desemba 2026 kutokana na changamoto za maandalizi. Ofisi ya Rais Salva Kiir imetaja hitaji la muda zaidi...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
1. Less talent are in high position(ikimaanisha watu wenye uwezo mdogo wa kuwaza mambo makubwa kwa ushirikiano ndo wameshikilia nafasi nyeti) 2. Those who contribute a little are given a higher...
4 Reactions
4 Replies
300 Views
Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha...
19 Reactions
81 Replies
3K Views
Papa wa Rumi amesema wagombea wote Trump vs Harris wanakiuka Haki ya maisha ila Kuna mwenye uafadhari. --- Pope Francis has called both major US presidential candidates "against life" and advised...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka. Pongezi...
5 Reactions
47 Replies
1K Views
After recent rumblings surfaced of how many nations would embrace the impending BRICS Pay system, the bloc has confirmed 159 participants are set to adopt the new payment system. Indeed, the...
5 Reactions
87 Replies
3K Views
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar...
11 Reactions
102 Replies
5K Views
Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo...
1 Reactions
2 Replies
817 Views
Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewahukumu adhabu ya kifo watu 37, wakiwemo Wamarekani watatu, baada ya kuwatia hatiani kwa mashtaka ya kushirki katika jaribio la...
0 Reactions
4 Replies
463 Views
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa. Mim ni nilikuwa nasali kanisa la...
20 Reactions
195 Replies
7K Views
Mdahalo (debate) utaanza saa 10:00 alfajiri ( Saa za Afrika Mashariki) siku ya Jumatano na itaenda hadi around saa 12asubuhi.. Kwa watakaotaka kufuatilia, TVs zote za dunia CNN, BBC, FOX NEWS...
3 Reactions
22 Replies
918 Views
Shirika la Umeme Nchini humo, ZESCO Limited, limetangaza mgawo Mkali wa umeme ambapo wateja wa makazi watapata umeme kwa takriban saa 3 kwa siku, kutokana na upungufu mkubwa wa umeme Kampuni hiyo...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Toka Kamala Haris ateuliwe kua mgombea wa Urais Marekani na chama chake cha democrat, jana amefanya public interview ya 3, ya kwanza ilikua ya cnn ambayo alikua na mgombea mwenza wake, interview...
1 Reactions
1 Replies
226 Views
Ndege hiyo ya Marekani ya NAVY, Boeing P–8A Poseidon, ilikuwa ikipita katika anga la kimataifa katika Bahari ya Kusini ya China. Jeshi la China kwa kutumia vifaa vya teknolojia vyenye uwezo wa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Mdahalo wa kwanza baina ya Donald Trump na Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais wa USA umefanyika usiku wa kuamkia leo huko marekani, baadhi yetu tulifanikiwa kuufatilia kwa kina katika...
16 Reactions
110 Replies
4K Views
Miezi 6 baada ya Rais wa Senegal Basirou Diomaye wa Senegal na Waziri wake Mkuu Ousmane Sonko wameanza kuleta visingizio Kwa Kushindwa Kutimiza Baadhi ya ahadi zao walizodai watazitatua ndani ya...
6 Reactions
80 Replies
3K Views
Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Wallah! sauti ya Kamala imenikosha sana, kabda akilini mwangu nilikosa sauti nzuri kutoka kwakwe nyingi ya sauti zake nilizowahi kumsikiliza nilimwona kama mtu anayeongelea puani kitendo...
1 Reactions
7 Replies
348 Views
Back
Top Bottom