International Forum

News and Stories from rest of the World
Wakuu habarini za muda huu, Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Iran ilikuwa dhaifu na imefilisika awamu ya Trump, Iran imekuwa tajiri na yenye jeuri ya pesa za kufadhili vikundi vya kigaidi awamu ya Biden. Trump aliiwawekea vikwazo vikali mno Iran ili...
1 Reactions
7 Replies
351 Views
Katika hali inayoonekana kwamba vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani na marafiki zake dhidi ya Russia vinaanza kuitesa taifa hilo. Benki za Urusi zimeondoa kiasi cha yuan, kwa kiasi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? IDF yawawahi magaidi kabla ya kuvuka mpaka wa Syria! Yaua magaidi wanne huko Syria waliokuwa safarini kujiunga na wenzao huko Lebanon. Islamic Jihad imetuma mkondo wa...
2 Reactions
13 Replies
871 Views
Trump alikuwa ni mwiba mchungu sana kwa Putin Video hiyo inamuonyesha Trump akiwakaripia ujerumani kwenye mkutano wa NATO (umoja wa majeshi ya Marekani na Ulaya) waliposaini mkataba wa mabilioni...
0 Reactions
11 Replies
610 Views
Wadau hamjamboni nyote? IDF wanaendelea kuyashughulikia magaidi kwa mwendokasi Mtoto wa gaidi maarufu Zakaria Zubeidi ni miongoni mwa Wapalestina watano walioripotiwa kuuawa katika shambulio la...
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Mamlaka nchini Algeria zimetangaza Rais Abdulmadjid Tebboune (78) kuwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika Septemba 7, 2024 kwa asilimia 95 Aidha masaa kadhaa baada ya matokeo kutangazwa Tebboune...
0 Reactions
5 Replies
608 Views
Vita sasa inaingia kwenye sura mpya Ukraine anasonga mbele kujinyakulia maeneo ndani ya urusi, 1300km square kilometers
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Takriban watu 50 wamefariki baada ya lori la mafuta kugongana na lori lililokuwa limebeba abiria na mifugo katika jimbo la Niger Septemba 8, 2024 Msemaji wa shirika la mafaa Nigeria amesema...
0 Reactions
6 Replies
408 Views
Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
11 Reactions
44 Replies
1K Views
THIS TELLS IT ALL,DIGITAL CURRENCIES ARE AN ENSLAVEMENT TOOL: ISRAEL SEIZES CRYPTO-CURRENCIES OF ALL PALESTINIANS August 26, 2024 Israel has ORDERED the crypto-exchange "Binance" to SEIZE...
0 Reactions
6 Replies
466 Views
Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka...
1 Reactions
7 Replies
587 Views
Wanaukumbi. Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel "Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani...
2 Reactions
94 Replies
4K Views
Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili. Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanakumbi. Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita. Aysenur alipigwa risasi kichwani...
2 Reactions
68 Replies
2K Views
Habari zenu wanabodi, Kwa namna siasa za marekani zinaendelea ni dhahiri shahiri kuwa Trump ana mengi sana ya kupoteza iwapo atashindwa kuingia pale White House mwaka kesho. Siku ya Ijumaa, Jaji...
4 Reactions
2 Replies
403 Views
Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan. Uchunguzi umeanza...
0 Reactions
6 Replies
679 Views
Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Safari ya Donald Trump kuelekea White House bado ngumu Bado Republican Walikosea kumsimamisha Trump. Alikutana tu na weak opponent Joe Biden. Sasa anapambana na mtu mwenye misuli ya Kisiasa na...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Harusi kubwa imefanyika huko Norway kati ya binti wa mfalme wa nchi hiyo anayeweza kuwa malkia pamoja na kijana mmoja mmarekani mweusi kutoka Carlifornia anayeitwa Shaman. Wapo waliochukia harusi...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom