DIGITALI: MTANDAO WA X KUFUNGA OFISI ZAKE BRAZIL
Mtandao wa X umedai kuwa Jaji Alexandre de Moraes wa Mahakama Kuu ya Brazil alimtishia mwakilishi wa X nchini humo akamatwe endapo hatatekeleza...
Wanaukumbi.
🚨🇺🇦 BREAKING: Wanachama wafuatao wa Serikali ya Ukraini WAMEJIUZULU EN MASSE hadi Zelensky:
Waziri wa Mambo ya Nje Dmytro Kuleba
Waziri wa Sheria Denis Maliuska;
Waziri wa Viwanda...
Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli...
Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika.
Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk.
Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani...
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao...
Daniel Mthimkhulu, alidanganya kuwa na Shahada ya Uhandisi wa Mitambo kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Ujerumani
Aliajiriwa na PRASA mwaka...
Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC umefunguliwa leo tarehe 5 hapa Beijing, ambapo rais Xi Jinping alitoa hotuba akitangaza kuinua uhusiano kati ya China na...
Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya...
Baada ya shambulio kali la Urusi kuua idadi kubwa ya askari kuruta wa Ukraine kwenye jimbo la Donest,leo raisi Putin wa Urusi ameweka wazi kuwa wamekuwa wakisonga mbele kwa kasi kuelekea kushika...
Wanajamvi,
Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao.
Mfano European Commission imeitaka Mongolia...
Familia ya Walz inaonekana kuwa na mgawanyiko mkubwa wakati ambapo mgombea mwenza wa Kamala Harris, Tim Walz, ambaye ni Gavana wa Minesota anajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2024 huko Marekani. Jeff...
Jopo la washauri bingwa la Afrika Kusini Ichikowitz Family Foundation hivi karibuni imetoa “Ripoti ya Uchunguzi wa Vijana wa Afrika (mwaka 2024)”, ambayo liliwahoji zaidi ya vijana 5,600 wenye...
Serikali ya Rais Xi Jinping imeahidi kutoa takriban Dola za Marekani Bilioni 50 (zaidi ya Tsh. Trilioni 139.39) kwaajili ya kufadhili shughuli mbalimbali za Ushirikiano wake na Mataifa ya Afrika...
Habari wana-JF,
Kumekuwa na uwepo mkumbwa wa atheist duniani, sasa unahisi nini kifanyike kuokoa ndugu zetu?
Na wapi tunapofeli? Na kama tukishindwa kukemea basi tuwachukie kwa moyo wote...
Kwa mara nyengine Marekani imeshindwa kuficha unafiki na nia zake mbaya katika vita vya Gaza.
Wakati kuna kesi na hukumu za mahakam za kimataifa za uhalifu ICC kwa ajili ya Israel na ambazo...
Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake,
Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe...
Wakihojiwa juu ya hali ngumu ya maisha wananchi hao wametupia lawama serikali lakini zaidi wabunge wao kua tatizo.
Wananchi hao Kwa nyakati tofauti wameonesha kukerwa na kuzorota Kwa maisha huku...
Tanzania ilipigana na Uganda 1978 Libya ilimpa Idd Amin kila aina ya Silaha lakini hazikusaidia chochote zote zilitekwa na Baada ya Vita kwa dharau kabisa Mwalimu Nyerere akavirejesha kwa Gadafi...
Naibu Waziri upande wa ulinzi United kingdom ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi.
==============
Some personal news: Sydney and I got married a few weeks ago in a small ceremony at Port Eliot...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.