Rais Kagame amewafuta kazi Amiri Jeshi Mkuu, Kanali, na maofisa wa ngazi za juu19 wa jeshi na akivunja mikataba ya maafisa 195 wa ngazi za chini, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la...
Jeshi la Ukraine lilidai siku ya Jumatano kuiangusha ndege ya kivita ya Urusi mashariki mwa Ukraine huku Urusi ikizidisha kulipiza kisasi katika eneo la mashariki linalokaliwa na Ukraine muda...
Mahakama Kuu nchini Brazil, leo September 2, 2024 itatoa uamuzi kwa kupiga Kura itakayoidhinisha kufungiwa au kuondoa adhabu hiyo dhidi ya Mtandao wa X (zamani Twitter), uamuzi uliotolewa Agosti...
UPDATE: Chidimma Adetshina ametangazwa Mshindi wa michuano ya Miss Universe Nigeria na hivyo ataiwakilisha Nchi hiyo katika mashindano ya Kimataifa ya Miss Universe huko Mexico, Novemba 2024...
Chini ya sheria mpya, sauti za wanawake pia zinachukuliwa kuwa ni uovu zinaposikika hadharani. Sheria inasema, “wakati wowote mwanamke mtu mzima anapoondoka nyumbani kwake kwa jambo la lazima...
All creatures on earth obey a dictatorship.
Nyuki wanamworship malkia bila kujua kwanini...kazi yake ni kuzaaa tu ila wao wanamtafutia kila kitu,chakula kumlimda na
Wananchi wote tunamtafutia...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki
Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao!
Leo kwa mara nyingine tena...
29 April 2024
Nairobi, Kenya
Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda...
Wayahudi wana haki waliyopewa na Mungu kwa nchi hii. Kiongozi mmojawapo wa vyama viwili vya siasa kali za mrengo wa kulia, vinavyounga mkono walowezi, ambavyo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu...
Kijana mmoja raia wa Syria siku ya Jumapili aliamriwa kushikiliwa kwa tuhuma za mauaji na uanachama katika kikundi cha kigaidi cha kiislam cha Isis kuhusiana na shambulio la visu la Solingen...
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye ameitaka Ulaya kusaidia kukabiliana na tishio la usalama linaloongezeka huko Sahel, eneo tete ambalo limekabiliwa na mfululizo wa mashambulizi mabaya katika...
Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda
Endeleeni kuitana huku...
Ujerumani itatoa dozi 100,000 za chanjo ya mpox kutoka kwa hisa zake za kijeshi kusaidia kudhibiti mlipuko katika bara la Afrika katika muda mfupi na pia kutoa msaada kwa nchi zilizoathiriwa...
Inachukua saa chache tu kwa basi kutoka Kigali hadi Goma, lakini kusafiri kutoka Rwanda hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuligharimu mwandishi mmoja kuhama Nchi—na huenda kuligharimu...
Wanaukumbi.
Hezbollah wanaendelea kushambulia maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel.
🚨🇱🇧🇮🇱 FM KATZ AWATAKA MSAADA WA KIMATAIFA KWA ISRAEL DHIDI YA IRAN NA HEZBOLLAH
Waziri wa mambo ya nje...
Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi.
Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi...
Marekani imetoa dozi 10,000 za chanjo ya MPox kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ikiwa ni kundi la kwanza la chanjo hiyo kufikishwa baada ya visa 40 vya kuripotiwa...
COMMISSION TO EXPOSE EVIL
So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the...
Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea.
Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu...
Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku
Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku.
Hadi second commander KUTOKA kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.