Ndege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army.
BREAKING...
Satellite za Urusi zilikua zina wazoom TU, makomando maalumu kabisa wa Marekani,Israel na uingereza wakipanga,mipango ya kwenda kupiga mission ya kibabe kabisa huko Yemen,wakitoka kwao ,wakiingia...
Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa...
Kumbe ule music wa Hezbullah kuwauwa kuku kwenye banda kulikuwa na majogoo wakubwa wamenono 😄
The commander of Israel’s Unit 8200 is a closely guarded secret. He occupies one of the most...
Katika kile kinachoonekana kuchoshwa na tabia ya mataifa ya Nato ya kuinyima haki ya kushambulia ndani ya Russia kwa kutumia silaha zao za misaada, hatimaye Ukraine imefanikiwa kuweza kutengeneza...
Ukraine Yasema Imejaribu Kombora Jipya la Ndani
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa nchi yake imefanikiwa kufanya jaribio la kwanza la kombora jipya lililotengenezwa ndani ya nchi...
Takwimu iliyotolewa na jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ya mwaka 2024 ikiwa ni zaidi ya vifo 450. asilimia 75% ya walioathirika zaidi na...
Sitaki kujua sana kuhusu huyu Mungu wa namna hii ila maagizo yake kwa watu wake hayapaswi kuendelea kuchukuliwa kawaida kwani yanahamasisha na kuchochea mauaji makubwa yanayo tekelezwa na...
Kiongozi mkuu wa Iran alifungua mlango Jumanne kufanya upya mazungumzo na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia unaoendelea kwa kasi wa nchi yake, akiiambia serikali yake ya kiraia "hakuna madhara"...
Inaitwa Afghanistan,the grave yard of Empires Nchi ambayo Taliban wamewanyima Haki wanawake.
Hapo wanatamani Kafir USA arudi kuwatawala.
My Take
Hata ungekuwa wewe huwezi tamani kuishi maisha ya...
Wanaukumbi.
Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq.
⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania:
Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi...
Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya...
Kanali Anan Abbas, Mkuu wa Udhibiti katika chumba kikuu cha operesheni cha Kamandi ya Kaskazini, alifichua katika mahojiano na chombo cha habari cha Maariv siku ya Jumanne kwamba operesheni ya...
Huyu bwana wazazi wake ni makuburu wa Africa Kusini kwa maana ya kwamba ni wahamiaji kutoka Ulaya, yeye sasa hivi ni mhamiaji wa US kutoka Africa Kusini, alirithi pesa kutoka mgodi wa rubi wa baba...
Jina: Kaid Farhan al-Qudi,
Baba wa watoto 11
Dini: Muislamu
Alitekwa October 7 mwaka jana
Uraia: Israel
Asili:Muarabu
Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel yafanya kufuru Leo asubuhi
Iko hivi
Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini
Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel...
Wanaukumbi.
Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel.
Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona...
Wadau hamjamboni nyote?
Makomandoo wa IDF wamefanya shambulizi la kushtukiza na kufanikiwa kumuokoa Mateka mmoja ndani ya handaki Leo asubuhi
Kazi hiyo maalumu ilifanywa na kikosi maalumu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.