International Forum

News and Stories from rest of the World
Maroketi ya Hezbollah hapo jana yamerushwa maeneo nyeti sana ya Israel hasa kaskazini.Hali hiyo imemfanya Netanyahu aitishe kikao cha dharura kujadili mabadiliko ambayo yamezidisha hofu kote kote...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio...
5 Reactions
8 Replies
340 Views
Viongozi wa mabaraza ya miji ya kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon wamesema wameamua kukatisha mawasilano na serikali baada ya kuwatelekeza kwa zaidi ya miezi 10. Wamesema hawataki tena...
1 Reactions
4 Replies
304 Views
Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), kimepata pigo kubwa baada ya Naibu wake, Floyd Shivambu, kujiondoa na kujiunga na Chama cha aliyekuwa Rais Jacob Zuma - uMkhonto weSizwe (MK) Floyd...
0 Reactions
3 Replies
675 Views
Tafiti zilizofanyika huko nchini Marekani zinasikitisha na kushtua sana, kwamba watu takribani milioni 23 sawa na asilimia 7 ya watu wazima wanaamini kwamba maziwa ya chocolate yanatoka kwa ngombe...
1 Reactions
3 Replies
402 Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
8 Reactions
109 Replies
5K Views
Hii hali inamsikitisha sana Putin. Ni suala ambalo he never expected kabisa. Hii vita ilipaswa kuwa operation ya siku 2 tatu ikizidi week. Sasa ni mwaka wa pili. Na hawa Ukraine wameanza kuingia...
14 Reactions
240 Replies
7K Views
Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
1 Reactions
13 Replies
628 Views
Mwanamume raia wa Czech ashambuliwana simba aliyemfuga nyumbani kwake Maelezo ya picha,Prasek alizozana na maafisa wa utawala wa eneo kuhusu ufuagaji wa simba huyo aliyemnunua 2016 Mwanamume...
4 Reactions
8 Replies
558 Views
Please nini unawez sema kuhus hili[emoji24][emoji24]
5 Reactions
18 Replies
962 Views
Meli moja iitwayo Sounion iko mbioni kuzama baada ya wanamgambo wa Houth kuishambulia kwa makombora mfululizo wakiwa kwenye boti ndogo ndogo huko bahari nyekundu karibu na Yemen. Meli hiyo...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Jiwe kubwa la almasi lenye uzito wa karati 2,492, ambalo linaaminika kuwa la pili kwa ukubwa kuwahi kupatikana duniani, limegunduliwa nchini Botswana. Jiwe hili kubwa linaaminika kuwa ni kubwa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kazi nzito kuwasaka na kuwapeleka jehanam magaidi wa Hezbollah inaendelea kwa kasi kubwa Muda mfupi uliopita gaidi mwingine ameliwa kichwa na drone ya IDF akiwa kusini...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Huyu jamaa ukimsikiliza na ukisikiliza wanasiasa wengine, ni mbingu na ardhi. Bongo ukimtoa Nyerere, ni mwanasiasa gani mwingine alikuwa na hotuba zenye nguvu...
3 Reactions
13 Replies
891 Views
Umoja wa falme za kiarabu jumatano umekubali utambulisho cha balozi wa taliban katika taifa hilo lenyd utajiri mkubwa wa mafuta katika ghuba ya kiarabu,ikiwa ni mapinduzi makubwa ya kidiplomasia...
3 Reactions
4 Replies
335 Views
Baada ya kusubiriwa kwa hamu jibu la IRAN kwa Israel,hatimaye imesema haiwezi kushambulia Israel kwa wakati huu hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa jeshi la mapinduzi la IRAN Swali je ndo...
9 Reactions
71 Replies
2K Views
Hili ni swali ambalo wengi wamejiuliza....Ikumbukwe jana Israel yote umeme ulikatika baada ya wadukuzi kutoka Iran kushambulia mifumo ya Israel na kusababisha umeme kukatika na Israel kukaa giza...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
India imepiga marufuku dawa 156 za mchanganyiko zilizotengenezwa kwa dozi maalum (FDC) zinazotibu homa, maumivu, mzio nk Hatua hiyo ni baada ya wasiwasi juu ya kutokuwepo kwa uhalali wa Kisayansi...
1 Reactions
4 Replies
755 Views
Ndivyo alivyosema mgombea Urais wa Marekani mh Kamala Harris katika hotuba ya kukubali kuteuliwa na Chama chake kuwa mgombea Urais Tanzania inatumia maono ya opportunity economy kwa kuzing'amua...
0 Reactions
9 Replies
309 Views
Ahadi ya Iran ya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran itachukua muda, kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
1 Reactions
10 Replies
750 Views
Back
Top Bottom