Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza.
King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
Mkutano wa mwaka 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na majukwaa ya ushirikiano...
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.
Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa...
Baada ya miaka mitatu bila vita nchini kwao., Wataleban wanasema wamechoka kukaa ofisini na sasa wanataka kupigana vita.
Msemaji wa Taleban Mullah Janan, alinukuliwa akisema "Tuna kiu ya vita...
HISTORIA YA ISRAEL
Ukiongelea Taifa la Israel lazima ufafanue unaongelea Israel ya zamani au Israel ya sasa.
ISRAEL
1.Modern Israel (Israel ya sasa)
2.Ancient Israel (Israel ya Zamani)
Kujua...
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya...
Taliban wmefanya gwaride kubwa kwa kutumia magari ya deraya na silaha kibao walizowateka Wamarfekani miaka 3 nyuma.
Ikumbukwe kuwa Taliban waliingia vitani na Wamarekani kwa miaka 20 mfululizo...
Tume hiyo Maalumu imeundwa na Waziri Mkuu, Ousmane Sonko na imepewa jukumu la kupitia upya Mikataba yote ambayo Serikali zilizopita zilisaini na Kampuni za Kimataifa.
Timu ya Wajumbe inaundwa na...
Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya...
From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana.
Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa.
Kuna...
Lawama zimeanza kua nyingi kuanzia bulawayo hadi harare,
Wachunguzi na watafiti mbalimbali wametupia lawama Kwa polisi wa zimbabwe hasa wa kitengo maalumu cha kuzuia uhalifu Kwa utekaji na...
"watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu"
Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja...
Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki
Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar...
Wana jamvi... Kwa moto wanaopelekewa jeshi la russia kuna uwezekano mkubwa vijana wa Yevgeny Prigozhin wameamua kupigana bega kwa bega kulipiza kisasi cha kuuliwa boss wao, maana mpaka muda huu...
Alipokuwa nchini Uturuki wiki iliyopita kiongozi wa mamlaka ya Palestina alihutubia bunge la nchi hiyo na kujigamba kuwa akirudi nyumbani atakwenda Gaza kwani eneo hilo ni sehemu ya Palestina na...
Urusi imevamiwa na kweli Ukraine kaingia kwenye will ya moja mpaka I Sawa, swali kwanini ajaenda kurudisha kinu chake cha Nyukilia?
Ambacho kinakaliwa na Urusi!? Je, kama amepata uwezo wakuvamia...
Licha ya Hali mbaya ya Uchumi na maisha magumu huko Nigeria , Serikali Yao imelazimika kununua ndege ya Kifahari Kwa Ajili ya Rais.
---
Many Nigerians have reacted with outrage after a new plane...
Wadau hamjamboni nyote?
Kazi kusaka magaidi haijapoa hata kidogo
IDF imethibitisha kufanya shambulizi la anga karibu na mji wa pwani wa Lebanon wa Sidon mapema leo, na kumuua afisa wa Fatah...
Mtu mzee zaidi duniani, Maria Branyas Morera wa Uhispania, ambaye alizaliwa nchini Marekani na kuishi katika Vita ya Pili Dunia, amefariki akiwa na umri wa miaka 117, familia yake ilisema Jumanne...
Wakati nusu ya Wairani wakiishi chini ya mstari ufukara, huku hali ya uchumi wa Iran ikiendelea kuzorota na pesa yake ya Rial ikipoteza thamani wakati wananchi wakizidi kugeukia ununuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.