BURUNDI: Mtangazaji wa kipindi cha mazungumzo ambaye wa taifa la Burundi aliyefungwa jela kwa kuhujumu uadilifu wa taifa la Burundi amesamehewa.
Floriane Irangabiye alikuwa ametumikia miezi 18 ya...
Rais wa Malawi, Peter Mutharika wikendi iliyopita alimshukia muhubiri maarufu nchini Nigeria, T.B Joshua wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) kufuatia taarifa kuwa mhubiri huyo...
Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa
Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka...
Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia.
Ni jambo la kushangaza kuona jinsi...
Bilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti..
===
A...
Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la...
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.
Na...
Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael.
Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na...
Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.
Wanajambo lao ambalo huwendavmm na...
Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha.
Takriban benki zote za Uchina zinakataa...
Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo.
Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je...
Kulingana na Shirika la Usalama wa Afya la Uingereza (UKHSA) imeonyesha takwimu mpya ya ongezeko la visa vya Kisonono kutotibika iamka ya hivi karibuni huku idadi ya wagonjwa kuongezeka nchini...
Dunia inaenda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao huenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakachotokea.
Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi...
Chanzo cha picha,Reuters
Ingawa "Z" inaweza kuwa ishara ya Urusi ya uvamizi wake, pembetatu inawakilisha jaribio la ujasiri zaidi la Ukraine la kuiondoa.
Zimepachikwa au kupakwa rangi kando ya...
Uingereza: Saba wasakwa na polisi baada ya hoteli ya wahamiaji kushambuliwa
Watu saba wanatafutwa na polisi baada ya vitu kurushwa nje ya hoteli inayohifadhi wahamiaji wakati wa maandamano...
Hawa wametia akili na kuacha muarabu abaki na bifu zake kwenye dini yake....
====
OECD Secretary-General Mathias Cormann
Indonesia, the largest Muslim country in the world, will normalize...
Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi
Roy Ibonga's personal archive
Kuna takriban maelfu ya watu weusi wanaoishi nchini Urusi- wakiwemo waliozaliwa nchini Urusi...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza habari ambazo zina trend kwa sasa ni kwa Majenerali wa Jeshi la Israel kuitaka serikali ya Netanyahu kusitisha vita huko Gaza ili mateka wakombolewe salama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.