International Forum

News and Stories from rest of the World
Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa...
5 Reactions
114 Replies
6K Views
Wengi watakumbuka katika vita vya uvamizi vinavyoendelea huko Ukraine wakati vinaanza ilikuwa Ukraine akijibu mashambulizi kwa kushambulia eneo lolote ndani ya Russia au maeneo ya Ukraine...
14 Reactions
79 Replies
4K Views
Ukraine imepeleka misaada kwa wananchi wa Russia waliotelekezwa. Hakika Rissia naye kaonja joto la jiwe. Kazi haijawa nyepesi kama alivyodhani. Kuna siku ataamua kubwaga manyanga tu. Putin hana...
2 Reactions
5 Replies
716 Views
My take Hawa jamaa kweli wamedhamilia. Japo kuwa watu wengi wanasema ni uongo, na hiyo ni kutokana uchanga wa wao wa maswala ya kiintelenjia, na kufuatilia mambo. kwa mfano kuna kipindi niwewahi...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Moderator Uzi huu ni utani Kwa wapenda vita usiunganishwe kwingineko! Sawa twende pamoja wapenda vita tutaniane! Hivi Ilanii mbona katudanganya atapiga ziraelii hadi leo kimya! Yaani ziraili...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
CHANZO CHA PICHA,DIANA CHANDO Maelezo ya picha,Balozi wa vijana Umoja wa Afrika -AUMaelezo kuhusu taarifa Author,Na Esther Namuhisa Nafasi,BBC News, Dar es Salaam Saa 7 zilizopita "Unajua mimi...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Hawa watakuwa ni Mayahudi. Ni hatari aisee... Kila mtu inasemekana ana mafunzo ya Kijeshi. Ndo maana hawa jamaa wana uzalendo wa hali ya juu sana. Ile Genocide ya Hitler iliwasaidia sana...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Mtoto wa kike (8) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ford huko Detroit Michigan, Marekani amedaiwa kumuua mwalimu wake kwa kumpiga risasi. Mwalimu huyo wa mazoezi ya viungo Jim Turner...
1 Reactions
25 Replies
923 Views
Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? RAIS wa mamlaka ya Palestina Dkt Mohamed Abbas ametoa kauli ya kishujaa kuwa atatembelea gaza hata kama atapoteza maisha yake Akiongea kwa ujasiri mkubwa huku...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Nchini Marekani Mfungwa Ambaye Alihukumiwa Kifo Na Kukaa Jela Karibu Miaka 50 Amekutwa Hana Hatia. Glynn Simmons, Mfungwa Aliyehukumiwa Kifo, Amekutwa Hana Hatia Baada Ya Karibu Miaka 50 Jela, Na...
2 Reactions
4 Replies
706 Views
Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki...
3 Reactions
85 Replies
2K Views
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine...
39 Reactions
230 Replies
10K Views
Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi...
0 Reactions
49 Replies
1K Views
Wanakumbi. ⚠️🚨Ndege kubwa zaidi ya kijeshi ya Urusi ya kubeba mizigo aina ya An-124 imewasili Tehran Ndege hii hapo awali ilipeleka ndege za kivita aina ya Yak-130 nchini Iran miezi michache...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
Ujenzi wa kiwanda cha kusindika bangi katika Wilaya ya Musanze, nchini Rwanda umefikia asilimia 70% hadi sasa huku mradi huo ukitarajiwa kukamilika mwezi septemba mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa...
3 Reactions
1 Replies
296 Views
Rais wa zamani wa Argentina, Albero Fernandez (65) anatuhumiwa kwa mashtaka ya Unyanyasaji dhidi ya mke wake wa zamani Fabiola Yañez (43) Waendesha mashataka nchini humo wameanza uchunguzi...
0 Reactions
1 Replies
543 Views
Mfanyakazi mmoja nchini china ashinda likizo ya siku 365 ambayo ni sawa sawa na mwaka mzima kwenye mchezo wa kubahatisha uliokuwa umechezeshwa na ofisini kwake. Amepata likizo hio ambayo...
3 Reactions
11 Replies
668 Views
Wanakumbi. Kila kitu kiko tayari kwa vita dhidi ya Iran - Benjamin Netanyahu Netanyahu alipokea shangwe (moja ya WENGI) wakati wa hotuba yake kwa Congress: "Dunia yetu iko katika hali ya...
12 Reactions
126 Replies
5K Views
Back
Top Bottom