Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023.
Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC...
Unaruhusiwa kubeba bangi kiasi cha gram 25 , unasokota na kuvuta hadharani.
---
FRANKFURT, Germany (AP) — Marijuana campaigners in Germany lit celebratory joints on Monday as the country...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua tena Dr.Edouard Ngirente kuwa Waziri Mkuu katika Serikali mpya nchi humo.
Bw.Ngirente ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu, siku mbili baada ya Paul Kagame kuapishwa...
Amazing: How Do American Hunters And Farmers Deal With Million Of Wild Boar And Lion By Guns.
Baada ya Miaka 20 Tanzania kutakuwa hakuna Simba.Watalii Wakija sijuwi watakuja kuona kitu gani...
Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain.
Kila nikiwa katika kazi zangu...
Ukraine yadai kudhibiti kilomita za mraba 1,000 za eneo la Urusi
Kiongozi wa Urusi Vladimir Putin ameelezea shambulio la kuvuka mpaka kama "uchokozi mkubwa".
Ni huzuni kubwa
Yonatan Deutsch komandoo wa kitengo maalumu cha Maglan cha Jeshi la Israel ameuawa na magaidi huko blonde la mto Jordan
Amezikwa kishujaa leo jijini Yerusalemu
Akiwa na miaka 22...
Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo
Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya...
Baada ya mda mrefu madarakani,akiiongoza nchi ya Rwanda kama raisi, leo tarehe 11 Agosti 2024, majira ya saa tisa na dakika 42, mbele ya jaji mkuu wa mahakama kuu ya Rwanda, Dr. Iyamuremye, Paul...
Baada ya kuwa muwazi sana kuhusu upungufu wa silaha,waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu sasa amesema bila kificho kuwa jeshi lake linapigana vita vigumu sana ndani ya Gaza yote.
On Sunday...
Mwanamume mmoja wa Philadelphia nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha kwenda jela baada ya kukiri kosa la kumuua bila kukusudia jirani yake kufuatia mzozo ambao mamlaka zinasema ulikuwa ni...
Aisee bwana Trump ametoa Kali ya mwaka na Mpya kufuatia kudai kwamba picha zilizosambazwa na kampeni ya Harris ikionesha maelfu ya watu waliofika uwanja wa ndege Kumlaki na kumpokea eti ni za...
Baada ya kuwakatalia watawala wa mashariki ya kati wiki iliyopita kutoishambulia Israel,sasa nchi hiyo imefanya kama hivyo kwa nchi za Ulaya'
Raisi mpya wa nchi hiyo na waziri wa mambo ya nje...
Madeni Yaliyofichwa: Majaji wa New York wampata waziri wa Mozambique na hatia
Paul Fauvet 2024-08-09 dk 5 kusoma
New York, 8 Ago (AIM) - Jopo la majaji katika mahakama moja mjini New York siku...
Wanaukumbi.
Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao...
Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter...
Taifa la kiyahudi kila siku zinavyokwenda linazidi kujipambanua rangi zake zilizokuwa zimejificha mwanzoni mwa vita kati yake na wapalestina.
Wako mawaziri ambao wameandamana na wafuasi wao...
Rais wa Uturuki ndugu Tayeb Erdogan amesema nchi yake inakusudia kuingia ndani ya Israel kuwasaidia wapalestina wanaouliwa na Israel.
Hayo aliyasema kwenye mji aliozaliwa wa Rize wakari...
Wakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.