International Forum

News and Stories from rest of the World
Idadi / population ya warwanda Wahutu 85 % Watutsi 14 % Watwa 1%. Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo...
12 Reactions
89 Replies
5K Views
Huyu alikuwa ndiye waziri wa fedha na uchumi wa Hamas ambaye pamoja na majukumu mengine kazi yake ilikuwa kitengo cha Hamas cha uzalishaji silaha. The IDF says it killed Hamas's economy minister...
14 Reactions
131 Replies
3K Views
Ni baadhi ya vitu mbavyo Biden na Harris sambamba na Democrats wamevifanya vitavyomsafishia njia Trump. Mfumuko wa bei, Maisha yamekuwa ghali zaidi kipindi cha Biden na Harris Hakuna kitu...
5 Reactions
16 Replies
949 Views
In South Africa, there is a church in which they worship RAPPER LIL'KIM as their GODDESS. The Church is known as " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM" and it operates in form of a secret...
1 Reactions
2 Replies
328 Views
Agosti 9, 2024, Ndege aina ya DHC-8-300 yenye usajili 5Y-SMI (Kenya) inayoendeshwa na Renegade Air kupitia WFP UNHAS, ilitengana na tairi zake kuu wakati wa kupaa kutoka Buny Airstrip huko...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Katika hali inayoonyesha kugeuziwa kibao, Russia sasa inahaha kupambana na uvamizi uliofanywa na majeshi ya Ukraine katika ardhi yake. Jeshi la Urusi limesema "linaendelea kurudisha nyuma"...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Ni mojawapo ya vinu vikubwa vya nyuklia Ulaya kilichokuwepo Ukraine kwa ajili ya kuzalisha umeme, kilichukuliwa na Urusi katika uvamizi wa Ukraine na sasa kipo chini ya himaya ya Urusi. Urusi ina...
2 Reactions
12 Replies
913 Views
Katika siku mbili hizi tumeshuhudia waingereza waliochoshwa na vitendo vya wahamiaji hasa hasa wale wa kiislam, kujichukulia sheria mkononi na kushambulia maeneo ya waislam. mfano walianzisha...
7 Reactions
173 Replies
5K Views
Wanaukumbi, Angalia hizo video Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo. Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor...
10 Reactions
153 Replies
4K Views
Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel). Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na...
18 Reactions
186 Replies
5K Views
Wale wanaojidai kuwa huko marekani kuna uhuru na demokrasia isiyo na mipaka wajifunze kwenye matukio kama haya na waelewe kuwa dola siku zote hutumia maguvu. ======== The FBI and state police...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za muda huu ndege za kijeshi za Israel limetanda na kuzunguka kwa Kasi ya kimbunga juu ya anga la Beirut ambayo ni mjii Mkuu wa Lebanon. Ndege hizo zimezusha...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Joe Biden amepatikana na COVID-19, Ikulu ya White House ilithibitisha Jumatano, Julai 17. Biden alikuwa Las Vegas kwa hafla ya kampeni alipoambiwa alikuwa na COVID. Ikulu ya...
6 Reactions
62 Replies
3K Views
Watu wengi wanajua kwamba China ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea. Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato...
30 Reactions
221 Replies
9K Views
Chek mambo hayo jamaa tumewaacha mbali sana kiuchumi kweli uchumi wa kati kiboko GDP yetu ni dola bilioni 50 Wakati yao North Korea ni bilioni 18 tu Huku kenya wao ikiwa ni bilioni 70 Korea ya...
5 Reactions
78 Replies
8K Views
Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini! Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa! Trampo anasema, nchi...
3 Reactions
19 Replies
535 Views
Biden signs Israel, Ukraine, TikTok bill into law President Joe Biden signed into law measures to provide aid to Israel, Ukraine and Taiwan, as well as force the divestiture of social media...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika mtazamo wa Kiislamu, kufa katika vita vya jihad kunaweza kuwa na faida na hadhi maalum, kulingana na mafundisho ya kidini. Hapa chini ni baadhi ya faida na hadhi zinazohusishwa na kufa...
2 Reactions
20 Replies
685 Views
Habari zenu, katika kufuatilia vita mbalimbali zinazoendelea Duniani kila siku kuanzia ile ya Ukraine na Urusi mpaka hii ya Israel na Hamas, hata tukija hizi vita za Jeshi la kongo na Waasi ni...
15 Reactions
72 Replies
2K Views
Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Back
Top Bottom