International Forum

News and Stories from rest of the World
Wadau Hamjamboni nyote? Haipoi hadi iishe na msako dhidi ya magaidi unaendelea kwa kasi ileile Muda huu tayari IDF wameshafanya yao na aliyekusudiwa tayari kashatangulizwa mbele za haki...
2 Reactions
9 Replies
673 Views
Kilipuzi chenye ukubwa wa inchi 3x6 , sawa na tofali la kuchoma kilichotegwa chini ya kitanda na vijana wa Ansar al-Mahdi security waliokuwa wakilinda nyumba ya wageni mjini Tehran, Iran...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Iran imesema kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 yajayo Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba Iran unaweza kuyatumia makundi yake...
6 Reactions
68 Replies
3K Views
aol.comDec 26, 2023 11:09 AM ncristian/istockphoto Waved Off With a new year approaching, it's natural to start dreaming of our next vacations. Cruises can be a budget-friendly choice for...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
🚨🇧🇫- Another coup attempt foiled. Alright, folks, I think I will stop counting the number of coup attempts we’ve foiled so far. But here’s what @CapitaineIb226 revealed to us this Tuesday...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya hiyo kubwa la magaidi almaarufu Nael Sakhel ameuawa katika shambulizi la IDF huko Gaza Soma zaidi hapo chini: Mungu ibariki Israel ============= IDF: Top...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Serikali imetoa tahadhari ya kutokea kwa Mawimbi Makubwa ya Baharini (Tsunami) baada ya Miji ya Kyushu na Shikoku kupigwa na matetemeko mawili yenye ukubwa wa Richa 7.1 na 6.9 Miji iliyopewa...
3 Reactions
7 Replies
537 Views
Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto inafanyika huko Paris, nchini Ufaransa. Mwanariadha wa Marekani Erriyon Knighton alikimbia kwa sekunde 19.99 katika mchuano wa mita 200 kwa wanaume...
3 Reactions
0 Replies
218 Views
Kuna wimbi la vijana Africa na Asia kuandamana kwasababu ya kupanda kwa gharama za kuishi kupanda, ufisadi ukosefu wa ajira na itawala wamabavu, Kenya, Bangaladeshi, Uganda Nigeris Senegal...
1 Reactions
1 Replies
283 Views
Ni tetemeko la ardhi la ukubwa wa ritcher 7.1, limetokea kusini mwa Japan. Tahadhari ya kutokea Tsunami yatolewa na mamlaka.
0 Reactions
3 Replies
233 Views
15 FEBRUARY 2024 Kano City, Jimbo la Kano Nigeria WATAASI RAIA, HALI NGUMU YA MAISHA KASKAZINI, WAMECHOKA AHADI ZETU VIONGOZI https://m.youtube.com/watch?v=F_dw0D2tcP0 Watuma ujumbe mzito...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hapo juzi wajumbe wa Israel walielekea nchini Misri bila mwaliko rasmi ikitaka mazungumzo yaliyodorora ya kusitisha vita yafufuliwe tena.Hiyo ilikuwa ni siku mbii tangu kuuwawa kwa Ismail Haniye...
0 Reactions
3 Replies
486 Views
Muhammad Yunus Muhammad Yunus, ambaye ni mshindi wa Nobel ndiye atakayeongoza serikali ya mpito ya nchi ya Bangladesh baada ya Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina kujiuzulu na kukimbia nchi...
0 Reactions
2 Replies
652 Views
Katika taarifa 'exclusive' iliyochapishwa na Reuters, ni kwamba usiku mmoja kabla ya kiongozi wa muda mrefu Sheikh Hasina kukimbia ghafla kutoka Bangladesh kutokana na maandamano yenye vurugu...
1 Reactions
10 Replies
682 Views
Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao. Kisa cha kwanza punda kuongea. Baalam wakati wana wa...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Marekani imezieleza Iran na Israel kwamba migogoro ya Mashariki ya Kati haipaswi kuongezeka, Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amesema Jumanne, huku kukiwa na hofu kwamba Tehran na washirika...
5 Reactions
104 Replies
3K Views
Ya muhimu.... 1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao 2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani 3...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema. Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye...
48 Reactions
1K Replies
37K Views
Iran imeanza kuiadhibu Marekani kwanza kabla ya kuingia Israel baada ya kifo cha Ismael Haniye. Makombora kadhaa yamerushwa kwenye kambi ya Marekani iliyoko Iraq na kusababisha maafa makubwa...
11 Reactions
79 Replies
4K Views
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel. Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake...
53 Reactions
183 Replies
6K Views
Back
Top Bottom