International Forum

News and Stories from rest of the World
Hawa jamaa wanamiliki makombora ya Hypersonic na Supersonic ambayo hata US hana Israel ajiandae kupokea mamia ya makombora kutoka Iran masaa machache mbeleni Pia Iran wanamiliki makombora yenye...
16 Reactions
139 Replies
7K Views
Kwa miaka 33, tangu mwaka 1991 taifa la Bangladesh limetawaliwa na wanawake wawili mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti kwa kila mmoja wakipokezana miaka mitano mitano. Aliyeanza kutawala alikuwa...
6 Reactions
12 Replies
876 Views
Wanakummbi. Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi...
16 Reactions
43 Replies
4K Views
Hii ndege moja bei yake kwa sasa ni dolla za kimarekani billion 2 na ushee! Kwa bajeti ya sasa ya bongo tukinunua 20 tu tunafilisika kabisa. Ilianza kutengenezwa tangu mwaka 1987 na kampuni...
15 Reactions
83 Replies
5K Views
Pope Francis has said that reading novels and poems is valuable in “one’s path to personal maturity” and should be encouraged in the training of future priests. Novelists CS Lewis and Marcel...
2 Reactions
13 Replies
780 Views
Wadau hamjamboni nyote Ndugu zangu naionea sana huruma Israel Kwa silaha nzito za kutungulia ndege na makomandoo imara walionao kikundi cha Hezbollah siamini kama Israel itaweza pambana nao...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Urusi wameanza kuingia Iran ikisadikika kua ni katika mikakati ya kutoa code za nuke zana zingine za kimapigano ⚡️Sergei Shoigu has just arrived in Iran. 🚀☢️What...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Saudi Arabia kutoiruhusu Iran kutumia anga lake kuipiga Israel US kuiondolea vikwazo vyote Iran Wakati huo huo Misri wamesema hawatoingia huo ugomvi kama walivyofanya mara ya mwisho kumsaidia...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani. Utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria imekuwa biashara kubwa yenye ushindani hasa mabasi...
37 Reactions
354 Replies
22K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hezbollah imeanza kuishambulia vikali Israel kama walivyoahidi Ili kulipa kisasi dhidi ya mauaji ya makamanda wao wawili Ismail haniyeh na shukru Hadi muda huu bado hali...
12 Reactions
193 Replies
7K Views
|| RUSSIA 🇷🇺 || USA 🇺🇲 || 🔴President Putin to Joe Biden: "We will arm your enemies just like you arm the enemies of Russia.”•
12 Reactions
58 Replies
3K Views
Baada ya Israel kumuua Kiongozi wa kisiasa wa HAMAS Ismail Haniyeh, inasemekana bado Israel inamuwinda Kiongozi wa kidini wa Iran Ayatollah Kamenei. Kiongozi huyo wa kishia anadaiwa kutoa kauli...
6 Reactions
14 Replies
952 Views
Ikiwa ni siku ya tano ya maandamano yanayoendelea nchini Nigeria ya kupinga hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira kwa vijana, huku raia wakitaka serikali ishuhulikie suala hilo kwa haraka...
0 Reactions
5 Replies
512 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ayatollah Ali Khamenei ameongoza maelfu ya watu kuaga mwili wa Jemedari na Kiongozi jasiri wa kundi la hamas Ismael haniyeh aliyeuawa na magaidi wa Kiyahudi. Ama Kwa...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Breaking News ni rasmi kuwa Mossad ilimuajiri afisa Usalama wa kikosi maalum Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya kabisa za muda huu Aliyetega mabomu chumbani kwa kubwa la maàdui Ismael...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kinachoendelea mashariki ya Kati ni maandalizi ya Vita kuu ya tatu ya dunia hapo baadae kidogo. Vita ya 3 ya dunia iko karibu mno. Hii Vita itahusisha silaha za nuclear. Mabomu ya nuclear...
14 Reactions
63 Replies
2K Views
Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel. Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili...
4 Reactions
28 Replies
949 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kutokea Tehran Iran Maofisa wa Serikali ya Iran waliofanikisha mauaji ya gaidi Mkuu Hamas Ismail Haniyeh aliyeuawa karibuni huko Tehran wameanza kukamatwa Wakiokamatwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni? Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom