"Isolate the fifty richest Jews and all wars will cease". ~Henry Ford
What motivated this man to accuse Jews as the source of all wars?
Is it real that wars are money-making for the rich?
Kuna mambo hayana tija. Katika hayo ni pamoja na kukiri kuhusika na shambulizi au madhara ya shambulizi yanapowakuta.
Nani asiyejua kuwa wao wanazidiwa mno rasilimali?
Kwamba kuwaunga mkono ni...
Wanaukumbi.
MOSCOW -
Mshirika mkuu wa Rais Vladmir Putin aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatatu kwa mazungumzo na viongozi wa Iran akiwemo rais na maafisa wa ngazi za juu wa usalama huku...
Maandamano ya kupinga Serikali yamesababisha machafuko kati ya Polisi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu ambapo baadhi ya Waandamanaji wanadai walitaka kufanya maandamano kwa amani lakini Jeshi la Polisi...
Jeshi ni sehemu muhimu ya nchi na usalama wake. Kila mwaka nchi hutenga bajeti kwa ajili ya kuimarisha majeshi yake. Nchi nyingi duniani huchukua tahadhari za kiusalama kwa kuimarisha majeshi yake...
Baada ya msululu wa vikwazo kutoka Maofisa wa Nchi yake kupamba moto kisa kujenga kiwanda Cha Mafuta,Dangote anaelekea kusalimu amri na kubwaga Manyanga.
Bwana Dangote anadai aliamua kujenga...
Wanaukumbi.
Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza.
Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa...
I believe proxy wars will determine who wins WW3 and gets to shape the new world order.
There are numerous ongoing proxy wars at the moment.
However, the ones I believe will prove decisive will...
Kuanzia Ijumaa ya wiki iliyopita masoko ya hisa ya Marekani yameporomoka kwa kasi sana. Wachumi wanasema hii inaweza kupelekea kushuka kwa uchumi (economic recession) nchini Marekani na huenda...
kufuatia kuchafuka kwa nchi ya Uingereza kwa vurugu za kibaguzi ambazo zimewalenga waafrika na waislamu kwa kias kikubwa, Mataifa kadhaa yameonya raia wake baada ya wafanya ghasia kulenga miaikiti...
Bangladesh iko kwenye kipindi cha kihistoria baada ya waziri mkuu wake wa miaka 15 kukimbia nchi katikati ya hasira za Umma.
Wiki kadhaa za maandamano dhidi ya Serikali zimesababisha waziri mkuu...
Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi...
JE, WAMJUA?
Anaitwa Kamal Musatafa Atatürk (BABA WA UTURUKI)
1. Aliondosha mfumo wa Ukhalifa wa Kiislamu Khilafah ya Kiothmaniyah (Otthoman Empire) mwaka 1924.
2. Alifuta sheria zote za...
Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita.
Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika...
Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa.
Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu...
Tim Wallz ameteuliwa kuwa mgombea mwenza na Kamala Harris.
Safari hii naona Progressives wameangaliwa😁
---
Vice President Kamala Harris has chosen Minnesota Gov. Tim Walz to serve as her...
Wayahudi wanaikimbia Israel nakwenda kusalimisha viwiliwili vyao Nchi za watu na kibaya zaidi image yao imechafuka chuki dhidi yao imeongezeka kuliko enzi za WWII
⚡️🇮🇱BREAKING: Israeli director...
Kenyaaaaa
Gen z
Hukoo bangladesh wanafunzi wa chuoo wamemtoa resii waziri mkuu aliekuwa madaraka 20 yrs kakimbilia. India
Nawaza hawa jamaa walikogwa ama? Miaka yote iio wako kimya
Aisee kumbe...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris - ambaye anatarajiwa kuwa mteule wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa Novemba - amefanya kile alichokiita "mazungumzo ya wazi na yenye...
Kwenye kundi la Wagombea 5 wanaopewa nafasi ya mmjawao kuwa mgombea Mwanza wa Bi. Harris Kamala kwenye uchaguzi ujao yupo Bwana Pete ambae ni Waziri wa Uchukuzi.
Bwana huyo anaelezwa kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.