Hapa ni orodha ya majina ya kificho ya Marais wote 45 wa Marekani, pamoja na maelezo ya maana yao:
1. George Washington - 711 - Hii ni nyongeza ya kulingana na nambari ya maduka ya Liquor ya...
Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia?
Nani alitegemea haya kutokea?
Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake...
Rais wa Mpito, Jenerali Oligui Nguema amepiga marufuku maafisa wa serikali wa nchi hiyo kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya likizo. Pia ameweka ukomo wa likizo kwa muda usiozidi wiki moja kwa...
Habari zenyu wakuu,
Nimeona watu wanashadadia kura za X(Twitter) zinazowahusu Kamala na Trump, kuwa Trump kashinda na Kamala ndio imekula kwake.
Lakini hapa hata mimi ambaye sitashiriki uchaguzi...
🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Lakini pili:
Napenda kujivunia nchi yangu Tanzania na Watanzania wenzangu wengi ambao licha ya kutofautiana dini, lakini bado, namna tunavyoishi, ni mfano wa ndugu...
First votes of the primary elections starts in Iowa, Iowans get to cast their votes first for the next President.
Hillary Clinton and Bernie Sanders neck and neck in opinion polls.
Trump and Cruz...
Wakati majadiliano ya kusitisha vita yakifikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000
Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000...
Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha mbinu ya matumizi, ambapo jumla yake hutolewa kwa...
Wapiganaji wa Hamas chini ya kiongozi wao mpya Yahya Sinwar imesema haitashiriki kwenye mazungumzo yaliyopangwa kufanyika wiki hii.
Badala yake kundi hilo ambalo limepigana na Israel kwa takriban...
Marekani ni taifa ambalo mara nyingi linaonekana kama mfano wa demokrasia kwa mataifa mengine duniani. Hata hivyo, kuna muktadha wa kipekee ambao unahitaji kuangaliwa kwa karibu: wakati nchi hii...
Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris.
Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya.
Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti...
Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria...
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
Mahakama ya malindi imemuruhusu Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma DPP) kuondoa kesi ilyokuwa inaendelea inayohusisha kiasi cha cha billion ksh 8.5 za chuo cha Utalii dhidi ya aliyekuwa waziri wa...
Pamoja na ushabiki wetu, tunakumbusha tu Iran kuna wayahudi wengi tu na wanaendelea Kula maisha bila bugdha yoyote.
Video ya kuvutia sana.
Wayahudi wa Iran mjini Tehran wakisherehekea kuhitimu...
Chama Kikuu cha upinzani, Democratic Progress kimemudhinisha Rais wa zamani, Peter Mutharika kuwa Mgombea wake katika Uchaguzi wa Septemba 2025
======
Malawi's main opposition party, the...
Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD
1)- Johannesburg 🇿🇦12,300
2)-Cape Town 🇿🇦7,400
3)- Cairo 🇪🇬7,200
4)- Nairobi 4,400
5)- Lagos 🇳🇬 4,200
6)- Cape Winelands...
Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi.
Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na...
Jeuri ya serikali ya Ujerumani kutaka kuendelea kwa vita baina ya Ukraine na Urusi zimekufa baada ya nchi hiyo kuamua kusitisha misaada yote ya kijeshi iliyokuwa imeahidi kutokana na bajeti za...
Ni wazi vita ya Russia na Ukraine ni vita ya Russia na marekani na ndo maana marekani anatoa misaada sana Ukraine nadhani ndo taifa la kwanza linaloongoza kupewa pesa nyingi ikifuatiwa na Israeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.