Why did Mark Zuckerberg choose now to confess?
Monday, September 02, 2024
Consider Mark Zuckerberg’s revelation and its implications for our understanding of the last four years, and what it...
Marekani, baada ya kuinunua Twitter kaanza kuruhusu kuwe na neutral ground kinyume na democrats wanavyotaka mawazo yao peke yao yasikike, hiki chama huwa kinacheza rafu sana, huanza kwa makesi...
Kila baada ya muda fulani nchi ya Marekani huwa inafanya mambo ambayo yanazidi kuishushia hadhi nchi hiyo.
Mambo hayo ni yale inayoyapinga kufanywa na wenzake.
Inaua sana kila nchi lakini...
Yule msemaji asiyechoka wa Hamas aitwaye Abu Ubeida amesema tangu mwezi Juni mwaka huu wamebadili mfumo wa kuwalinda mateka na kutoa maagizo hayo kwa wanaowalinda pindi askari wa Israel...
Mongolia ni landlocked country imepakana na China na Russia pekee.
Yote haya mataifa mawili ni nuclear powers na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi.
Ili uweze kuivamia Mongolia na kuiangamiza...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Shabani Lukoo amesema, Watu 129 wameuawa wakati wakijaribu kutoroka katika Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa na wengine 59 wakijeruhiwa.
Waziri Lukoo ametaja madhara...
My Take
😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆 Hii ikitekelezwa itakuwa Kali ya mwaka.
=========
Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi...
Chama cha Upinzani cha UTM kimekataa Ripoti ya Uchunguzi wa Ajali ya Ndege iliyosababisha Kifo cha aliyekuwa Makamu wa Rais Saulos Chilima na watu wengine 8.
Ripoti hiyo iliyowasilishwa na...
Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda.
Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua...
Mara kadhaa nimewahi kushiriki na naendelea kushiriki kutoa maoni ya kusuluhisha mgogoro mkongwe na mgumu mno wa Wayahudi na Wapalestina.
Kwa ujasiri mkubwa kabisa, nisisitize kuwa nakusudia na...
Ijumaa iliyopita Marekani ilikuwa inaadhimisha kujiondoa rasmi nchini Afghanistan baada ya vita dhidi ya ulichokiita ugaidi vilivyochukua miaka 20.
Kuangukia mikononi mwa Taliban kwa mji wa Kabul...
Najua ni wachache wanaokumbuka tukio hili
Hili ni tukio la kuvutia na la kusisimua ndani ya mieleka ya WWE lililopewa jina la "THE BATTLE OF THE BILLIONAIRE`S"
Ulikuwa ni mpambano mkali kati ya...
Rwanda ni nchi flan yenye ukubwa wa km za mraba zisizopungua 26330 hivi.. ikiwa na idadi ya watu wasiopungua million 10.. huku mji mkuu ukiwa ni Kigali wenye idadi ya watu kama million 1,288,000...
Kukamatwa kwa Pavel mmiliki wa mtandao wa Telegram pengine kumepelekea mtandao huo kuwa slow sana na wakati mwingine mpaka utumie VPN .Vip inaweza kuwa sababu hiyo ??
Wajuzi wa mambo mtujuze...
Tume ya uchaguzi ya Tunisia imeidhinisha wagombea watatu pekee kugombea katika uchaguzi wa urais mwezi Oktoba 6, 2024, ikipuuza uamuzi wa mahakama wa kuwarejesha wagombea wengine watatu. Wagombea...
Reports: New York is Deploying National Guard troops,not State Guard Troops for Trump sentencing on Sept 18. There are claims that Trump will be lmprisoned on that day,so they fear riots will...
Nyangumi aina ya ‘beluga’ anayeshukiwa kupewa mafunzo ya kijasusi na Urusi amepatikana amefariki katika pwani ya Norway.
Mwili wa mnyama huyo - kwa jina la utani Hvaldimir - ulipatikana ukielea...
Yafahamu mataifa 10 barani Afrika yenye uwezo mkubwa wa kijeshi 2024
Chanzo cha picha,Reuters
Maelezo ya picha,Wanajeshi walinda amani wakipiga doria Libya
31 Mei 2021
Uwezo wa kijeshi ni muhimu...
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa.
-
Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.