Nchi ya Burundi, inayohusika na vita vinavyoendelea mashariki mwa Congo, kupitia makubaliano ya ushirikiano kwa mambo ya kisalama, kuanzia Septemba 2023, na hili jambo liliifanya Burundi kuwa...
Nimesoma communique ya Joint Summit (EAC-SADC) majeshi ambayo hayajaalikwa Congo yanapaswa kurudi kwao. Je mojawapo NI Jeshi la Rwanda? Shame on you PK
Soma: Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa...
MGOGORO PALESTINA, ISRAEL; UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI
KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya...
Trump anafikiri anaweza kumwendesha kila mtu atakavyo. Amekutana na kisiki cha China, hakitaki masihara hata kidogo. Ukimwaga mboga wenzako wanamwaga ubwabwa.
Baada ya wiki, mji wa Goma mashariki mwa DRC, kuangukia mikononi mwa kundi la M23, uongozi huo umewaweka viongozi wapya, ili jamii iweze kuendelea kupata huduma za kiserikali.
Bwana BAHATI MSANGA...
Wanaukumbi.
Saudi official Al-Saadoun says if Trump wants to be a 'hero of peace', he must move his Israeli loved ones to Alaska and then to Greenland after annexing it.
=====================...
Afrika Kusini imepeleka wanajeshi zaidi na zana za kivita nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo mnamo siku za hivi karibuni.
Wapiganaji wa M23 wanaonekana huko Goma Februari 6, 2025 kwa ajili ya...
Waasi wa M23 wameanza tena mashambulizi dhidi ya vikosi vya jeshi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mapigano kusimama kwa siku mbili.
Soma Pia: Mamia ya wanajeshi wa Rwanda...
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini...
Sept 11, 2024, Baraza la Wawakilishi la bunge la Marekani liliidhinisha kiasi cha $1.6 Billion.
Bajeti hiyo ni ya miaka mitano (2023-2027) kueneza propaganda dhidi ya China sehemu mbalimbali...
Kumbe USAID mwaka jana September ilifungua uchunguzi dhidi ya kampuni ya Elon ya Starlink kuhusu kuruhusu jeshi la Urusi kutumia Starlink katika vita vyake vya uvamizi Ukraine!
Mojawapo ya...
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Mahamat Idriss Déby Itno
Rais wa Jamhuri ya Chad
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima kubwa kwa kujitolea kwenu katika juhudi za amani na utulivu barani Afrika, tunajiunga...
Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao...
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi...
Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee.
OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon...
Nawasalimu kwa jina pendwa la JMT..Kazi iendelee.
Ni jambo la kushangaza eti Nelson Mandela aliyekuwa Kiongozi mpigania Uhuru wa Afrika Kusini kuitwa Baba wa Amani Afrika..
Inawezekanaje mtu...
Rais Donald Trump amesema kwamba hana mpango wa kumwondoa Prince Harry nchini humo.
Hii ni baada ya Heritage Foundation kudai kuwa Harry alificha matumizi ya dawa za kulevya yaliyopaswa kumzuia...
Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya...
Wakuu.
Hali si hali huko London na hii ni baada ya waislamu wenye msimo mkali kuandamana huko Uingereza wakitaka uwepo wa Sharia Laws.
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba polisi wa Uingereza...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri ya kiutendaji ya kukata msaada wa kifedha kwa Afrika Kusini, ambao ulikuwa karibu dola milioni 440 mwaka 2023.
White House ilieleza kuwa hatua hii...