International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Kimekuwa na media nyingi zinazowasema vibaya M23 huko congo ila kwa background hali ni tofauti, raia wa Goma na wengine wanafurahia mapinduzi ya M23. Hapa ndio naanza kuelewa kuwa haya mapigano...
4 Reactions
6 Replies
434 Views
Msemaji mkuu wa M23, Lawrence kanyuka, ametangaza kukamatwa kwa watu 5, 3 wakiwa wanajeshi wa FARDC(jeshi la Congo) na 2 wengine wakiwa wanamgambo wa FDLR. Watu hawa walikamatwa na bunduki 4 na...
3 Reactions
26 Replies
963 Views
M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza. Ila kwa sababu sisi waafrika...
14 Reactions
71 Replies
2K Views
Trump amewawekea vikwazo vya kifedha na Visa kwa maafisa wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC baada ya mahakama hiyo kutoa hati ya kukamatwa kwa viongozi wa juu wa Israel Israel na washirika...
8 Reactions
48 Replies
1K Views
Huawei’s tri-fold Mate XT stars in new teaser video 05 September 2024 Huawei is gearing up to announce its first tri-fold smartphone – the Mate XT on September 10 and the teaser campaign for the...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Aliyekuwa mkuu wa CoastGuard Commandment Marekani Linda Fagan ( four star admiral) kafukuzwa kwenye kota za Serikali kwa kupewa notice ya masaa matatu. Linda ambaye alitenguliwa na Trump kwenye...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu, Kufuatia uamuzi wa Rais Donald Trump wa kuvunja Shirika la Msaada wa Kibinadamu la Marekani (USAID) na kupunguza wafanyakazi, vyama vya wafanyakazi wa serikali nchini Marekani...
0 Reactions
12 Replies
609 Views
Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame...
17 Reactions
207 Replies
7K Views
Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23)...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille...
2 Reactions
8 Replies
487 Views
Kamati ya maandalizi ya shindano la urembo nchini Ivory Coast (Miss Côte d’Ivoire 2025 -COMICI) imetangaza kuwa katika hatua za awali za mchujo, washiriki hawataruhusiwa kutumia nywele za bandia...
3 Reactions
5 Replies
292 Views
A routine shopping trip at the Walmart Supercenter in Novi, Michigan, turned into a life-altering event for 38-year-old Denise Williams and her 6-year-old daughter, Aaliyah. On what seemed like an...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajeshi wa Malawi, waliokuwa mashariki mwa DRC, kupitia SADEC, leo wamerudishwa nchini kwao. Ni katika jitihada za kuhakikisha kusitisha mapigano kati ya serikali na M23 yanafikiwa kwa uhuru...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Usiku wa tarehe 26 kuamkia 27 January 2025,gereza la Munzenze huko Goma, lililokuwa na wafungwa 4,475, badhi ya majengo yalichomwa moto na wafungwa, waliokuwa wakifanya jitihada za kujinasua...
0 Reactions
15 Replies
629 Views
After revelations the US Agency for International Development (USAID) has been funneling millions to media outlets around the world, President Trump has ORDERED the termination of "every single...
0 Reactions
11 Replies
253 Views
Leo na kesho naambiwa kuna mkutano WA Maraisi wa Congo na Rwanda na SADC na EAC Huyu Bwana akikanyaga Tanzania mwambien tunalaan yote yanayoendelea congo na WANAJESHI wake WA M23 Na Wala...
0 Reactions
3 Replies
341 Views
Panama wana machaguzi mawili tu kukubali ama kukataa na kila chaguzi lina matokeo yake hasi ama chanya. Maoni ya mdau Kabla ya raisi Trump kushika madaraka kwa mara ya pili aliweka wazi...
1 Reactions
51 Replies
2K Views
Introduction The M23 (March 23 Movement) rebel group has been at the centre of instability in the eastern Democratic Republic of the Congo (DRC) for over a decade. Their recent announcement of a...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini. Kwa mujibu...
5 Reactions
73 Replies
2K Views
Kanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza...
23 Reactions
35 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…