International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo...
2 Reactions
16 Replies
584 Views
Maelfu ya waandamanaji nchini Bangladesh walielekeza hasira zao kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Sheikh Hasina, aliyepinduliwa na kukimbilia uhamishoni, kwa kuvamia na kuharibu nyumba ya familia yake...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini 🇿🇦. 1. Misri 🇪🇬 2. Algeria 🇩🇿 3. Nigeria 🇳🇬 4. Afrika...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Trump amekuja na misimamo na sera zinazogusa na kuathiri watu wengi ndani ya Marekani na nje ya marekani. Trump anagusa imani za watu, tamaduni za watu na sasa anakwenda mbali kutaka kushirkiana...
16 Reactions
112 Replies
3K Views
Trump atasaini amri leo ya kuiwekea vikwazo ICC kuhusiana na uchunguzi waliowahi kuufanya hapo nyuma kuhusu Marekani na washirika wake kama Israel, vikwazo hivyo ni ikiwemo vikwazo vya kifedha na...
7 Reactions
22 Replies
542 Views
Bilionea namba moja duniani Elon Musk yuko mbioni kuwateua vijana sita wadogo kiumri na legelege wenye sura za kitoto Baby Face kumsaidia kuifumua kuifungua na kuianzisha upya shirika la misaada...
4 Reactions
11 Replies
815 Views
Leo tarehe 6 January 2025, katika uwanja wa mpira wa Umoja huko Goma, raia wamefulika baada ya kualikwa kuwatambua viongozi wao wapya. Tofauti na matarajio, umati wa watu uliopo nje, unazidi uwezo...
3 Reactions
15 Replies
796 Views
Marcus Jordan, mtoto wa mwanamichezo maarufu wa mpira wa kikapu, Michael Jordan, amekamatwa Florida kwa tuhuma za kuendesha gari akiwa amelewa na kumiliki dawa za kulevya aina ya cocaine. Polisi...
0 Reactions
4 Replies
345 Views
Wanaukumbi. The Hebrew Channel 12 reports: The Zionist prisoner "Emily Damari" who was released by the resistance last week asked to remain in captivity and release another prisoner in her...
3 Reactions
81 Replies
2K Views
Wananchi wa jimbo la Kivu ilibidi washangilie bila kupenda kwa sababu wamezungukwa na mitutu ya bunduki, ila haikuwa furaha kutoka moyoni. Wakati huohuo baada ya kujitangazia serikali mpya...
3 Reactions
2 Replies
314 Views
M23 ni kikundi cha waasi wa Kikongo kinachotegemezwa na Rwanda na kinachofanya kazi katika Mashariki mwa Kongo. M23 inasimama kwa "Movement of 23rd of March" (Harakati ya 23 Machi), jina...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza uteuzi wa Dk Chikwe Ihekweazu kama Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likiweka wazi kuwa, Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu...
1 Reactions
9 Replies
969 Views
https://x.com/StanysBujakera/status/1887306274750030073 Akiongea Vital Kamerhe, anasema: muda umeshatutupa; kuna wabunge hapa hata hawajui ilipo MINOVA, Nyabibwe iko wapi na maeneo mengine...
1 Reactions
11 Replies
631 Views
https://x.com/wembi_steve/status/1887483008644530453 Kama kuna mtu anakaa kwenye nyumba ambayo si yake;na si ya serikali kama kuna mtu anatumia gari lisilo lake,tunamuomba alikabidhi. Mpaka sasa...
0 Reactions
5 Replies
236 Views
Nimesikitika sana sana sana, Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda? Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa...
121 Reactions
517 Replies
67K Views
Au Mimi ndio sielewi? Kwanin Waasi wanabembelezwa kwamba serikali na wacongomani wamesurrender na wamekubali kutawaliwa na M23? Hawa M23 ni kina nani?
5 Reactions
27 Replies
905 Views
Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha...
2 Reactions
7 Replies
432 Views
Muungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza usitishaji mapigano wa kibinadamu kuanzia Jumanne. Katika taarifa, kundi hilo - linalojumuisha waasi wa M23...
18 Reactions
310 Replies
12K Views
Elon Musk asema yeye na Donald Trump wamekubaliana kufunga USAID – shirika linalosaidia maendeleo ya kimataifa. Katika ujumbe wa sauti kwenye X, alisema: "Tunafunga shirika hilo," akiongeza kuwa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini agizo la rais kupiga marufuku wanamichezo wa transgender kushiriki kwenye michezo ya wanawake. Akisaini agizo hilo Ikulu ya White House, Trump alisema...
3 Reactions
15 Replies
530 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…