Inaonekana hata Rais Kagame angetamani hii migogoro iishe ila ni kama kuna shinikizo kubwa sana ambalo hata yeye anashindwa kulimudu.
https://x.com/Sentletse/status/1885081658363203707?s=19
Haina haja ya salamu. Tunaoweza kiinglish tu ndo tutaelewa hapa. Wale wenzangu na mimi tuliokomea madrasa tu hatukufika Sekondari na Chuo... Huu uzi tutaupita kama tunaaga maiti. Kagame amesema...
Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi.
Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina.
Mimi mkatoliki mwaminifu.
Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulifanyika tarehe 31 Januari 2025, Harare, Zimbabwe, chini ya uenyekiti wa Rais wa Zimbabwe...
Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa...
Waandishi wa habari wameambiwa wasiwe na hofu kabisa kuendelea kukusanya taarifa zote katika mji wa Goma!
Waandishi wetu wa Bongo wangeweza hili?
=======================
Rais wa Kundi la waasi...
Ni upuuzi Kwa DRC Congo kubagua section ya Raia wake eti Kwa madai kwamba wanazungumza Kinyarwanda hivyo sio Wakongomani wanatakiwa kuwa kicked out au kuuwawa.
Huu ni upuuzi wa Hali ya Juu kiasi...
Brigedia General Antoine B. Ngondo; ni mmoja wa wanajeshi wa ngazi ya juu, waliokuwa mashariki ma nchi hiyo, wakati vita vya jeshi la nchi hiyo na kundi la waasi la M23 vimeshamiri.
Baada ya...
Waziri wa Foreign wa Marekani amesema wakati wanaendelea kufanya ukaguzi kama walivyoagizwa na Rais Trump watakuwa wanatoa msaada wa Dawa za kuzuia Vifo pekee Kwa waathirika wanaotumia Dawa hizo...
Baada ya kuufuatilia mgogoro wa Mashariki ya Congo-DRC sasa ninaweza kusema mgogoro huo umegawanyika katika robo nne.
1. Robo ya kwanza ni siasa kabisa-hapa kuna tatizo la siasa za uraia wa...
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Kitaifa la Afrika Kusini (SANDF), Jenerali Rudzani Maphwanya, amejibu kauli ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusu mchango wa vikosi vya ulinzi wa amani katika Jamhuri...
Amani iwe nanyi Dunia haishiwi maajabu
Polisi huko New York wametoa mkanda wa video unaoonesha kundi la watu wakiiba treni iliyokuwa imeegeshwa na kuiendesha.
Polisi inasema watu hao...
Wakati watu wanashanga ujasiri wa Kagame kutupiana maneno na Ramaphosa wa SA kuhusu mgogoro wa Mashariki ya DRC, mtandaoni kuna lawama chungu nzima za raia wa Africa Kusini wakimlaumu rais wao...
Source: VOA Radio.
Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka...
Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona...
Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas...
Wakati upelelezi ukiwa bado unaendelea na shutuma za nani kasababisha ajali ya kugongana kwa chopa ya jeshi na ndege ya kiraia Marekani zikiendelea kurushwa na wadau mbalimbali, nimekutana na...
Sasa ni rasmi kuwa Mali, Niger na Burkina Faso si wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu nchi hizo zitoe taarifa rasmi ya...
Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?
Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha...
Rais wa Mexico ameilalamikia kampuni ya Google kwa kuibadili jina ghuba ya Mexico na kuiita Ghuba ya America. Huu ni mwendelezo wa makampuni ya kibeberu kujaribu kubadili ramani ya dunia bila...