International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

2020-10-26 07:30:08 Algeria Capital City: Algiers President: Abdelmadjid Tebboune Angola Capital City: Luanda President: Joao Lourenco Benin Capital City: Port-Novo President: Patrice...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inakera sana kuona Baadhi ya Nchi za Kiafrika zimejikausha na kuisusa DRC Kwa kuiacha inagukie kwenye mikono ya Jeshi la Vibaraka wa Wazungu M23 Kupitia Rwanda. Ni kama Wameisusia Tanzania peke...
8 Reactions
106 Replies
3K Views
Timu ya maridhiano ya usitishaji wa vita imeshauri kuhamisha Wapalestina wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda hadi Gaza itakapojengwa upya. Wazo hilo limewekwa wazi na Steve Witkoff ni mshauri wa...
8 Reactions
89 Replies
3K Views
Trump kaingia ofisini juzi tu, lakini huko Marekani hawapoi. Trump amewaondolea viongozi wastaafu ulinzi na kutaka jukumu hilo la ulinzi wajigharamie wenyewe. “Nimewaondolea Ulinzi wa...
17 Reactions
36 Replies
2K Views
MOSAD, CIA, IDF Pamoja na drones na missiles za kupindua ma jengo, ardhi, mifereji, mashimo, juu chini chini juu... Ikawaje washindwe kujua walipohifafhiwa wenzao mpaka wawe humuliated kwa...
14 Reactions
87 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas...
7 Reactions
56 Replies
1K Views
Takriban wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini wameuawa na 3,000 kujeruhiwa wakati wa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu. Korea Kaskazini inaaminika kutuma wanajeshi...
4 Reactions
19 Replies
983 Views
Katika historia ya dunia, kumekuwa na matukio ambapo makundi ya watu wachache yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa kijamii, kisiasa, kielimu, kiuchumi, n.k. Hali hii mara nyingi imepelekea chuki...
5 Reactions
8 Replies
379 Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais trump atoka maagizo mazito ya kiutendaji kwa nchi za Jordan na misri Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: January 26, 2025 By Agencies Today, 4:32 am US...
2 Reactions
20 Replies
759 Views
Kwa mujibu wa vyombo vya habari mji wa Sake uliopo km 23 magharibi mwa Goma ambai ni mji mkuu wa Kivu ya kaskazini, umeshambuliwa tena. Ikumbukwe wiki iliyopita waliuzingira na kukaribia kuuteka...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Katika mahojiano aliyofanyiwa rais mpya wa Marekani,Donald Trump hapo jana,amesema Marekani ina tamaa ya kuipata Green Land kwani wakazi wake takriban 50000 wote wanataka kuwa wamarekani. Trump...
3 Reactions
17 Replies
778 Views
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa...
0 Reactions
2 Replies
392 Views
Marekani imeondoa maombi yote ya usafirishaji wa bidhaa kupitia Rzeszow, Constanta, na Varna kwa ajili ya Ukraine. Usafirishaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kwenda Ukraine kupitia kambi za NATO...
22 Reactions
245 Replies
6K Views
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma...
13 Reactions
54 Replies
2K Views
Haah eti hii ina ukweli kuhusu ushindani katika AI Inataka kufanana na hii haah
3 Reactions
3 Replies
217 Views
Kwa mara nyengine Hamas itaachia mateka 4 wa Israel iliowachagua ambapo tayari majina yao yameshawekwa hadharani. Jumamosi iliyopita ilikuwa ni burudani kubwa kwa ulimwengu na kwa watu wa Gaza...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Waasi wa M-23 wamezingira takriban Mji wote wa Goma. Rais wa kigeni wanashauriwa kuondoka. Governor wa Kijeshi wa North Kivu ameuawa jana kuhusiana na haya mapigano. M+23 wanawaamboa wanajeshi wa...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025 Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…