International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Yani kila linalotokea huko Gaza, wao watakwambia Israel inajua inachokifanya. Waliposhambuliwa na kuuwawa zaidi ya raia wao elf 1 pamoja na wengine zaidi ya miamoja kutekwa, wapo waliosema 'eti...
13 Reactions
69 Replies
1K Views
Wanaukumbi. ⚡️🇾🇪BREAKING: Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader. Katika taarifa ya Ansarallah "Houthis" VP ya vyombo vya habari: “Kwa ombi la ndugu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya...
1 Reactions
19 Replies
717 Views
Wadau hamjamboni nyote? Wenyewe wanaita the Commander-In-Chief inaugural ball
1 Reactions
19 Replies
989 Views
Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump **** NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA "Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja...
36 Reactions
173 Replies
7K Views
Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo...
0 Reactions
2 Replies
153 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar. Kwa mfano Rais Joe Biden...
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2024 pato la Taifa la China lilikua kwa asilimia 5, na kufikia yuan trilioni 134.9, sawa na dola trilioni...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
"Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata nusu ya mali yake na hatimaye kuwa tajiri baada ya talaka. "Talaka imekuwa ni biashara yenye faida kubwa kwa wanawake...
34 Reactions
43 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mawasiliano ya Sudan Kusini imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari 22, 2025. Katazo hilo linafuatia kusambaa kwa picha za video...
0 Reactions
1 Replies
197 Views
Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025...
3 Reactions
8 Replies
531 Views
Rasmi, Rais Trump ameanza kuwaondoa Maafisa wa Pentagon waliopo Ukraine na wahusikao na misaada pia kwa Ukraine. Hiyo ni kwa mujibu wa Vyombo vya habari huko Kiev.
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Katika hali ya kustaajabisha leo wakati wa uapisho wa Raisi Trump matajiri watatu wakubwa zaidi marekani na dunia nzima, Elon Musk, Mark Zuckerberg, na Jeff Bezos na demu wake Sanchez, Boss wa...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii: "Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Ujumbe ndio huo. https://youtu.be/13P5MJC41TA?si=_U25y5IajNMq_7xx https://youtube.com/shorts/tUU3xoc4lfo?si=wL7IHFe-eWhdeudq
0 Reactions
11 Replies
828 Views
Nchini Rwanda, wasichana sita na mwanaume mmoja wamekamatwa na Kitengo cha kuchunguza uhalifu - RIB kwa tuhuma za kuchapisha video za utupu mitandaoni. Video ya mrembo mmoja anayeitwa Kwizera...
4 Reactions
13 Replies
932 Views
Wanaukumbi. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Herzi Halevi amemjulisha Waziri wa Ulinzi Israel Katz kwamba anakusudia kujiuzulu mnamo Machi 6. Katika taarifa, Halevi anasema anaondoka...
1 Reactions
10 Replies
486 Views
Siku ya leo Jumapili Januari 19 vita vya Gaza vinaingia hatua muhimu ambapo kutakuwa na usitishwaji wa vita kwa muda na ambao unaelekea kuwa wa kudumu baada vita vya zaidi ya mwaka mmoja. Vita...
8 Reactions
67 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni Marekani imekuwa ikitekeleza kile inachokiita kurudi Afrika, sera ambayo hapo awali ilitajwa kuwa ni kurekebisha makosa ya kisera na kutambua umuhimu wa kimkakati wa...
1 Reactions
2 Replies
333 Views
Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili...
1 Reactions
2 Replies
245 Views
Jirani zetu Rwanda Ni ngumu kusikia vikundi Kama Panya Road. Kule adabu ipo maana wajeda wanazunguka barabarani na SMG au AK-47 muda wote na ukileta mchezo unapata kile unastahili mubashara...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Back
Top Bottom