Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais...
Mimi nadhani mnachanganya Mungu na itikadi yenu.
Ya Mungu ni ya Mungu, ya itikadi yenu ni itikadi
Kwa hio Mungu ndio aliwatuma hamas kwenda kila nyumba na kuua kila familia na kuwachoma moto...
The primary objectives of Benjamin Natanyahu to declare war on Gaza in Octomber 2023 were among others:
1. To eliminate the group of Hamas completely and also
2. To free the 100+ captives taken...
Mtoto mdogo kama huyu ananyimwa haki yake ya malezi bora yasiyokubikwa na asili ya ukanda, uadui, hofu na damu lakini too bad atalelewa na matapeli watakaomwambia kuwa wayahudi, wakristo na...
Tiktok imetangaza huduma zake kurejea nchini Marekani, baada ya juhudi za Trump kurefusha muda wa majadiliano mpaka hapo atakapoingia madarakani rasmi.
Sababu nyingine kubwa ya Trump kuipambania...
Barghoit anasadikiwa kuwa ndio Mandela wa Palestina.
Habari kamili:
Mwanasiasa wa Kipalestina, Marwan Barghouti, kiongozi wa vuguvugu la Fatah ambaye kwa sasa anazuiliwa katika jela ya Israel...
Kampuni ya TikTok imetangaza kwamba itasitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025, iwapo Mahakama Kuu haitasitisha au kuchelewesha sheria inayotaka ByteDance, kampuni...
Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji
Watumiaji...
DR Congo: Rwandan-backed armed group and Congolese army must stop using explosive weapons in densely populated areas - Amnesty International
FOR IMMEDIATE RELEASE
Inaccurate explosive weapons...
Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki.
Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia...
Wiki iliyopita, tarehe 7, Januari 2025, akiwa Mar a Lago, Rais Trump alichimba biti.
Alisema kwamba ifikapo tarehe 20 mwezi hao mateka wa Hamas hawajaachiwa, basi huko Mashariki ya Kati...
Wadau hamjamboni nyote?
Mateka 3 wameachiwa huru kwenye utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.baina ya Israel na magaidi wa hamas
Romi Gonen, Doron Steinbrecher, na Emily samari...
Wadau hamjamboni nyote?
Mpango kusitisha vita umekwama hadi pale Hamas iwasilishe orodha ya majina ya Waisrael watakaoachiwa
Netanyau asema IDF itaendelea kuishambulia gaza kwa ndege vita hatari...
Wadau hamjamboni nyote?
Inasikitisha lakini ndiyo gharama za makubaliano kusitisha vita baina ya Israel na hamas.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
January 18, 2025
Notorious Fatah...
Uganda tayari ina mafuta, South Sudan inayo, Kenya inayo, Zanzibar nayo inayo (hata yawe kinibu ni mafuta ya Zanzibar) na sasa Rwanda nayo imepata mafuta yake. Je Tanganyika vipi...
Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa.
Shambulia hilo...
Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema.
Lee...
Imebainika kuwa Ufaransa ililipa kiasi cha Euro Milioni 60 sawa na Shilingi Bilioni 156 za Tanzania ili majasusi wake wanne waliokuwa wamekamatwa na kushikiliwa nchini Burkina Faso waweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.