Vita ya makampuni ya mitandao kati ya USA na CHINA inaelekea kutamu.
Baada ya Hukumu ya kuifunga TIKTOK huko marekani hatimaye followers wa Tiktok wanahama kwa mamilionj na kujiunga na app...
1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi
2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban...
Wadau hamjamboni nyote?
Yametokea hayo Tehran muda mfupi uliopita
Jaji mmoja alofariki alikuwa maarufu kuhukumu kesi zilizohusisha wapinzani wa Serikali ya Iran
Hadi sasa hakuna taarifa yeyote...
Mnamo October 26,2024 Israel ilifanya shambulizi la kulipiza kisasi dhidi ya Iran,katika shambulio hilo Israel ilitumia anga la Iraq kulitekeleza huku ndege chache aina ya F 35 zikipenya anga la...
Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages
https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
Mwanaume mmoja Raia wa Nchini Uturuki anayefahamika kwa jina la Mehmet Bilal C, amepata dola milioni 2.5 ambazo ni sawa na bilioni 6.3 za Kitanzania ndani ya miezi mitano kwa kuuza maji feki ya...
Elon anaonekana anaendeshwa na chuki kali, ubaguzi wa rangi, na hofu dhidi ya makundi fulani.
Ukweli kwake ni yale tu anayoyakubali, na chochote kinacasichokikubali kwake ni uongo.
Hapendi...
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
The following is the text of the hostage-ceasefire agreement reached between Israel and Hamas on January 15, 2025
Appendix I...
Wadau hamjamboni nyote?
Mwongozo wizara ya afya Israel kwa mateka watakaoachiwa
Watapimwa magonjwa ya zinaa
Wanawake watapimwa mimba
Watapimwa ugonjwa wa Refeeding Syndrome
Watakaa hospital sio...
Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai.
Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
Wakuu,
Leo Januari 17, 2025, Mahakama ya Pakistan imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani, Imran Khan, kifungo cha miaka 14 jela na mkewe, Bushra Bibi, kifungo cha miaka 7, kwa tuhuma za matumizi mabaya...
China, Israel, and Myanmar emerged as the world’s three worst offenders in another record-setting year for journalists jailed because of their work, the Committee to Protect Journalists’ 2024...
Wadau hamjamboni nyote?
Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit
Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani...
Muda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas...
Boss wa Meta na mmiliki wa Facebook, Instagram, Thread na WhatsApp bwana Mark Zuckerberg amesema kampuni ya Apple haina ubunifu wowote kwa zaidi ya miaka 20 baada ya Steve Jobs kuvumbua Iphone...
Mwaka 2025 kama una mpango wa kusafiri nje ya nchi na kusafisha macho basi Cape Town imetajwa kama mji namba 1 kwa ubora kutembelea 2025.
Jarida maarufu la Time Out limeorodhesha miji 50 bora...
Rwanda imedai Kugundua Mafuta kwenye bonde la Ziwa Kivu.
https://x.com/BusInsiderSSA/status/1879804070409732449?t=0tHfcniqFTurH5qTGiJpqw&s=19
My Take
Rwanda Yenye Uchumi Mkubwa itakuwa Tishio...
Wadau hamjamboni nyote?
Baraza la mawaziri la Israel hakuna kuidhinisha makubaliono kusitisha vita hadi Hamas wakubaliane na kutimiza vipengele vyote vya mkataba husika
Suala la kuachiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.