Maghala ya kuhifadhia risasi na viwanda vya kemikali vilishambuliwa katika mikoa kadhaa, baadhi yao ikiwa mamia ya kilomita kutoka mpakani, kulingana na Mkuu wa Wafanyakazi wa Kikosi cha Wanajeshi...
Serikali ya Israeli na Hamas wamekubaliana juu ya makubaliano ambayo yatasimamisha mapigano huko Gaza na kusababisha kuachiliwa kwa hatua kwa hatua kwa mateka na wafungwa wa Kipalestina, vyanzo...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Pete Hegseth kama waziri wa ulinzi, uteuzi ambao umekumbwa na utata.
Katika kikao cha kuthibitishwa mbele ya Seneti ya...
Mapigano kati ya vikosi vya serikali ya Yemen na Houthis waripotiwa katika majimbo 3.
Jeshi la Yemen lilitangaza Jumamosi jioni kwamba vikosi vyake vilipambana na wapiganaji wa Houthi katika...
Tizama dunia hii. James Woods, muigizaji maarufu wa Hollywood ambaye alishabikia Wapalestina wote wa Ghazza wateketezwe, Mungu kamtahini kwa kuunguliwa na nyumba yake katika moto mkubwa...
Venancio Mondlane, kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji, amethibitisha kuwa atarejea nchini Alhamisi wiki hii, siku chache kabla ya kuapishwa kwa rais mteule, Daniel Chapo.
Mondlane, ambaye...
As the so called spiritual music and other music dominates our social media as influencers, they capitalize on expensive aesthetically emotional techniques.But there are easier, cheaper more...
All the leaders of the Zionist unit that participated in the assassination of the martyr mujahid commander Yahya al-Sinwar months ago in Rafah were killed, as the unit was killed after falling...
Majanga ya asili ni Jambo la kawaida katika ulimwengu wetu,sisi kama binadamu tunapaswa kukubaliana na matokeo pale inapo bidi,huyu ni mama shupavu ambaye amebaki na moyo mkuu licha ya Masahibu...
Mahakama ya juu ya Msumbiji imethibitisha ushindi wa chama tawala cha Frelimo katika uchaguzi wa Oktoba, ambao umezusha maandamano makubwa ya makundi ya upinzani ambayo yanadai kulikuwa na wizi...
Wakuu,
Hivi inakuaje kuaje mpaka unadanganywa kiasi hiki na Artificial Intelligence? Ndo tumefikia huku?
======================
Mwanamke mmoja kutoka Ufaransa alidanganywa na kupoteza zaidi ya...
Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu...
Wanakumbi.
Donald Trump:
There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.
The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad...
Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku...
Israel new proposal law banning spread of Christianity in Israel
Legislation, if passed, would send violators to prison for 1–2 years
Forbidden to talk about Jesus": shock proposal in Israel...
Huu mtandao wa kichina Xiaohongshu kwa jina la kiingereza RedNote utaweza kuwa mbadala wa TikTok marekani kama utaweza kukufungiwa Januari 19 au ni nguvu ya soda tu kwa sasa.
Xiaohongshu, also...
Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo.
Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee...
Mwanamke mmoja Mfaransa alitapeliwa zaidi ya $800K na mtu aliyejifanya kuwa Brad Pitt. Walikutana na tapeli huyo Instagram na kumshawishi kwa video na picha zilizohaririwa na kuzalishwa na AI...
Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuanza hatua ya usitishaji wa shughuli zake kwa muda katika mgodi wa Loulo-Gounkoto uliopo nchini Mali.
Hatua hiyo imekuja kutokana na mvutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.