Israel launches deadly Gaza attacks
120 or more killed after missiles hit targets linked to Hamas
Jenny Percival and agencies guardian.co.uk, Saturday 27 December 2008 10.08 GMT
Bodies...
Wanaukumbi.
⚡️🇮🇱BREAKING: Ceasefire agreement will continue as planned.
Crisis resolved, Israeli Cabinet will meet to approve the ceasefire and exchange deal.
Tomorrow, the negotiating teams...
Huku marufuku ya TikTok ikikaribia, wanasiasa wa Marekani wanaoendelea kupinga China wamegundua kwamba App nyingine ya kijamii ya China ‘Rednote’ imezidi kuwa maarufu nchini Marekani. Katika siku...
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni taarifa kamili ya BBC
Saa 1 iliyopita
Rais mteule Donald Trump atarejea tena katika Ikulu ya White House siku ya Jumatatu, punde tu atakapo apishwa rasmi kuwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni masaa machache baada ya makubaliono kusitisha vita vilivyodumu miezi 15
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
BBC
71 killed in airstrikes since ceasefire...
Muda mchache uliopita taarifa kubwa kwenye vyombo vya habari vyote vya Kimataifa Aljazeera, CNN na nk ni juu ya Makubaliano ya Kusitisha Mapigano kati ya Israel na Hamas.
Kufikiwa kwa makubaliano...
Mwaka jana, Riyadh ilifunga ofisi yake ya mafuta New York - ishara ya kuelekea kutoweka kwa mafuta ghafi ya Saudi huko nchini Marekani.
Shukrani kwa mapinduzi ya shale na kuongezeka kwa tasnia ya...
Serikali ya Yemen almaarfu Houthi imetangaza kusitisha operesheni zao za kijeshi dhidi ya Israel baada ya Israel kuingia makubaliano ya kusitisha vita na HAMAS.
Wahouthi ambao waliiwekea Israel...
Wanaukumbi,
Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California.
Malipo haya yatatumika kununua mahema. Yaani unaunguliwa nyumba unapewa dola 700 pesa ya iphone...
Zaidi ya wanamichezo 100 walioshinda medali kwenye mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika Paris nchini Ufaransa mwaka 2024 wamelazimika kuzirudisha medali hizo kwenye kamati ya maandalizi ya...
Kongo imelaaniwa, tangu wapate Uhuru hawajawahi kupata utulivu. Dalili kuu ya mtu au Taifa lililolaniwa ni kukosa utulivu.
DRC nchi iliyojaa madini. Kuna sehemu ukiingia msituni kabisa huko...
Wanaukumbi.
BREAKING:
🇮🇱 🇵🇸 Israel and Palestine are on the verge of a ceasefire
Netanyahu is preparing to present the agreement to end the war in Gaza to his government tomorrow for approval...
Kwa kweli inaumiza sana. Tukiangalia Gaza na Palestine. Kumevurugwa hasa...siyo kipole pole. Amevuruga Hamas na amewatandika Hizbullah kiasi cha kutia aibu. Inaniuma sina raha. Nliposikia ana umwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Netanyau
Hao ni adui zenu milele na huu muda wanajipanga na watarudi kwa nguvu kubwa wakiwa na ghazabu tele
Ungezingatia maagizo ya Yahwe alompatia Nabii Mussa haya...
Tunapowaambia kwamba Chini ya Rais Samia,Tanzania imeipita Kenya kwenye maendeleo muwe mnaelewa.
Haya Sasa hizi ni takwimu za Idada ya Takwimu ya Kenya ,Haters wote mnaitwa huku mje kusema ni...
Wakuu,
Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa.
Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11)...
TikTok inajipanga kuzima huduma ya App yake kwa watumiaji wa Marekani kuanzia Jumapili hii ya Januari 19, iwapo Mahakama ya Juu haitazuia marufuku hiyo, kwa mujibu wa ripoti ya The Information...
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amekamatwa kwa jaribio la kutangaza sheria ya kijeshi.
Tukio hili linaashiria mara ya kwanza katika historia ya Korea Kusini ambapo rais aliyeko madarakani...
Katika hatua za kuthibitishwa na seneti ya Marekani, Waziri mteule wa Ulinzi wa Marekani wa utawala wa Trump anasema anasapoti Israel "kuwaua" Hamas wote hadi wa mwisho kabisa!
Waziri mteule wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.