International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Vyombo kadhaa vya habari vinaripoti sintofahamu huko DRC , vinasema kuwa jaribio la kumpindua rais Felix Tshikedi limeshindwa! ==== DR Congo army says it has thwarted attempted coup The...
5 Reactions
61 Replies
6K Views
Watu 100 ambao walikuwa wakichimba madini kinyume cha sheria katika mgodi wa dhahabu usiofanya kazi nchini Afrika Kusini wamefariki baada ya kunaswa chini ya mgodi huo kwa miezi kadhaa, huku...
1 Reactions
9 Replies
495 Views
Trump alipiga mkwara kwamba akiingia akute mateka wameachiwa la sivyo kutakua jehanamu, naona HAMAS, magaidi wenye mlengo wa kiislamu wamekubali amri, yule jamaa ni chizi, patanyooka sana hapo...
0 Reactions
7 Replies
421 Views
Moto mkali umezuka katika eneo la juu la Pacific Palisades huko Los Angeles, na kusababisha uhamishaji wa hofu. Moto huo, unaosababishwa na upepo mkali wa Santa Ana , tayari umeteketeza karibu...
6 Reactions
82 Replies
5K Views
Masharti ya makubaliano kati ya Israel na Hamas kwa ajili ya kusitisha mapigano huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka yanataraji kukamilika. Hatua hiyo inakuja wakati Rais wa Marekani Joe Biden...
0 Reactions
8 Replies
388 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye Hamas waagizwa kuondoka mara moja kutoka Qatar. Magaidi hao wamekuwa kikwazo kwenye mchakato wa kupatikana amani kwa kugomea mipango yote ya kusitisha mapigano...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025. Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa Zamani wa Israel Golda Meir anathibitisha kuwepo kwa taifa la Palestine. https://youtube.com/shorts/EIIKBbl9F2U?si=Fq2OslOjpmOpTMuv
1 Reactions
28 Replies
514 Views
Historia ya Firauni imeandikwa kwenye Qur'an kwa ufasaha ikitajwa ni kwa ajili ya ukumbusho kwa wanadamu kwanza wajue kuna muumba wa Ulimwengu na wasiwe wanajisemea tu ovyo kwa kutumia midomo yao...
13 Reactions
92 Replies
2K Views
Urusi imechukua udhibiti wa mgodi wa Lithium wa Shevchenko baada ya kutwaa eneo unapopatikana mgodi huo. Hii ni mwendelezo wa Urusi kutwaa maeneo yaliyoko mashariki mwa Ukraine tangu kuanza kwa...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
https://fntaz.com/china-yafikiria-kuuza-mtandao-wa-tiktok-us-kwa-elon-musk/
3 Reactions
20 Replies
789 Views
Rais mteule Donald Trump amemteua bilionea Scott Bessent kuwa waziri wa fedha katika serikali yake ijayo. "Scott amekuwa mtetezi wa muda mrefu wa Ajenda ya Amerika Kwanza. Katika kuelekea...
5 Reactions
71 Replies
3K Views
=== Wakati kashfa dhidi yake zikiendelea Billionaire Gautam Adan amesema atatumia pesa yake ya mapato ya ndani kuijenga bandari ya Colombo Sri Lanka ikiwa ni baada ya kuachana na maombi ya Mkopo...
12 Reactions
86 Replies
2K Views
Serikali ya Marekani imetenga dau la $25M kwa yeyote atakayesaidia au kufanikisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa makosa ya ugaidi wa dawa za kulevya(Narco- terrorism)...
1 Reactions
22 Replies
877 Views
Wakuu, Kumbe mambo yanafutuka huko Marekani kati ya Donald Trump na Netanyahau na wala hamsemi? Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Netanyahu amesitisha safari yake kwenda Washington kwa ajili ya...
2 Reactions
8 Replies
535 Views
Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amezungumza na Rais wa Marekani Joe Biden, kuhusu maendeleo katika mazungumzo ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza. "Waziri Mkuu alijadiliana na...
0 Reactions
4 Replies
313 Views
Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais. kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria? Na katika...
0 Reactions
1 Replies
242 Views
Ila hapa duniani kuna watu na viatu kwa kweli! Sasa mtu anatumwa na halmashauri yake ya kichwa anaenda kuwasha moto duh hii ni balaa tupu. Pole zao wote walipata janga hili kubwa...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! Kwa Hali ilivyo ya UOVU katika miji Mikubwa duniani , na UOVU unaofanyika katika Kijiji kile mlimani ndani ya Jiji la Los Angeles na UOVU uliofanyika miji ya sodoma na gomora...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom