International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Wadau hamjamboni nyote? Us na Uk wafanya mashambulizi makubwa huko Yemen Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Latest: The IDF confirms it launched airstrikes against Houthi targets in Yemen...
1 Reactions
17 Replies
798 Views
Leo napitia habari za kimataifa naona Rais alieshindwa mwenye box la kura wa chama cha Podemos anaye itwa VENANCIO MONDLANE amerudi kutoka uhamishoni alipokuwa akihutubia wananchi kwa njia ya...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote Serikali ya Marekani ilishajimilikisha kisiwa cha Greenland kabla ya vita kuu ya dunia na kisha kumilikishwa rasmi kupitia mkataba wa kijeshi wa kijeshi wa mwaka 1951...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, Abiria 400 wa Treni nchini Ufaransa wamenusurika kifo baada ya dereva wa Treni kujirusha huku treni ikiwa kwenye mwendo kasi siku ya December 25,2024 . Mamlaka ya reli Ufaransa imesema...
13 Reactions
97 Replies
3K Views
Wanaukumbi UST IN: 🇪🇺🇺🇲 European Union is angry and will "not tolerate" a takeover of Greenland by the United States: France warned Trump against threatening the bloc's "sovereign borders" —...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom akiwa na wafanyakazi wengine wamenusurika kuuawa katika shambulio la anga, linalodaiwa kufanywa na ndege za kivita za Israel kwenye uwanja wa...
8 Reactions
96 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Takwimu sahihi kabisa Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600 Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300 Usiku...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais wa Mali Jenerali Assimi Goita amesema jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) ni sawasawa na kikundi cha kigaidi. Rais Goita alitoa kauli hiyo mnamo tarehe 6 Januari 2025...
3 Reactions
16 Replies
772 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mpango wa Iran baada ya shambulizi la Oktoba 7,2023 ni kupiga Israel kutokea pande zote kupitia vikundi vya Hamas, Hezbollah na houth. Njia mojawapo ya mashambulizi hayo...
1 Reactions
5 Replies
537 Views
#DRC: Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linalosaidiwa na wapiganaji wa kundi la Wazalendo limefanikiwa kurejesha udhibiti wa baadhi ya maeneo yaliyochukuliwa na wapiganaji wa M23. Jana...
3 Reactions
13 Replies
716 Views
Takriban watu 18 wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya kikosi cha walinzi wa Rais wa Chad na kundi la watu waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto. Kundi la watu hao (bado...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hiki ndicho alichokisema kuhusu vita ya Ukraine 1. Serikali ya Marekani haikutakiwa kusema kwamba Kiev (Ukraine) itajiunga NATO 2. Biden alivunja makubaliano kati ya Marekani na Urusi kuhusu ni...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi AU ina msaada gani kwa nchi za Afrika, zaidi ya "kutapanya" fedha za Afrika? Ina msaada gani? Ikivunjwa kuna hasara yo yote?
4 Reactions
21 Replies
525 Views
Kampuni ya Barrick Gold Corp inakabiliwa na changamoto kubwa zaidi nchini Mali baada ya serikali kuongeza marufuku ya usafirishaji wa dhahabu nje, hatua iliyojumuisha pia dhahabu iliyopo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
. Katika harakati zangu za kujikomboa na umasikini, niliamua kufanya ziara ya kusaka fursa Mpya nchini Congo. Nilikua tayari nimeshapata masimulizi mengi ya upatikanaji wa madini ya dhahabu na...
28 Reactions
563 Replies
113K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa sahihi za kiinteligensia zaonyesha Iran inajambo lake IDF imejipanga kikamilifu kukabiliana na jambo hilo. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki...
7 Reactions
121 Replies
3K Views
Rais mteule Donald Trump ameendelea kutoa vitisho vya kudai kumiliki Greenland na rasi ya Panama, akisema maeneo haya ni muhimu kwa usalama wa taifa la Marekani. Alisisitiza kuwa Marekani...
2 Reactions
12 Replies
933 Views
Mwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia Facebook mwaka...
2 Reactions
56 Replies
965 Views
First of all, he will not be able to achieve a ceasefire in Ukraine as he thought he will, in the same day in the office, He thought he is a powerful person, who in a blink of eyes everything is...
1 Reactions
4 Replies
306 Views
Juni 27, 2022, Mahakama Kuu ya Shirikisho ya jijini Lagos nchini Nigeria, ilikataa kusikiliza kesi zilizowasilishwa na Wakili wa Haki za Binadamu, Malcolm Omirhobo ambaye alifika mbele ya Mahakama...
3 Reactions
5 Replies
722 Views
Back
Top Bottom