Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Januari 6 ametangaza nia yake ya kujiuzulu kama kiongozi wa chama na kama Waziri Mkuu wa nchi hiyo mara tu baada ya chama chake kumchagua kiongozi wake mpya...
Saudi Arabia imewaachilia huru wanawake watatu wa Nigeria waliokuwa wamekamatwa na kushtakiwa nchini humo.
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje kwa sasa, Kimiebi Ebienfa, katika taarifa iliyotolewa...
Wanaukumbi.
50,000 Israeli Soldiers Keep Failing to Occupy a Single Lebanese Village
Yedioth Ahronoth reported that "after a month of ground operations, 5 Israeli military divisions & a reserve...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump
Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka
Mungu ibariki...
Rais wa Zambia bwana Hajainde Hichilema amewasimamisha kazi Majaji 3 wa mahakama kuu Kwa madai ya mwenendo usiofaa na kusababishia lawama za Serikali kuingilia mhimili wa mahakama.
Majaji...
Wanakumbi.
Benjamin Netanyahu aliidhinisha mazungumzo ya Israel, ikiwa ni pamoja na Mossad na maafisa wa kijeshi, kuendelea na mazungumzo nchini Qatar na Hamas ili kupata makubaliano ya...
Niaje waungwana,
Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti.
Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila...
Jeshi la Mali limethibitisha kuwakamata viongozi wakuu wa tawi la IS katika eneo la Sahara . Viongozi wa tawi hilo lijulikanalo kama Islamic State in Greater Sahala ( EIGS kwa...
Wakuu,
Huko nchini Ghana, mlinzi wa Rais anayemaliza muda wake Nana Akufo-Addo amezua taharuki baada ya kuzimia na kukata moto wakati Rais huyo anahutubia.
Jarida la Punch, limedokeza kuwa...
Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu.
Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air"...
Tajiri namba moja duniani Elon Musk ametangaza kampuni yake mojawapo ya Neuralink inayofanya kazi za kuhusianisha ubongo wa binadamu na teknolojia ya computer kuja na kifaa cha kuwawezesha vipofu...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
December 31, 2024
IDF says senior Islamic Jihad rocket commander killed in recent Gaza drone strike
By Emanuel Fabian Follow...
Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29
Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani...
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent
Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu...
Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) ikimtaja Matthew Livelsberger, kuwa mtu aliyefariki ndani ya gari aina ya ‘Tesla Cyber truck’ iliyolipuka nje ya hoteli maarufu ya Trump jijini Las Vegas...
Wahaiti wajue kwamba, mambo yanaenda kwa mipango! Au wanataka waone polisi wa Kenya wamekufa kwa wingi ndio waamini kama wanafanya kazi!
Habari kamili;
Shinikizo linaongezeka kwa maafisa wa...
Saudi Arabia inasema imewanyonga Wairani 6 kwa ulanguzi wa dawa za kulevya huku Iran ikilaani vikali.
Saudi Arabia ilisema Jumatano kwamba ufalme huo umewanyonga wanaume sita wa Iran kwa ulanguzi...
Wadau hamjamboni nyote?
Madaktari wamemzuia yeye akagoma na kuondoka kuelekea bungeni
Mwamba huyo ana siku 2 tu tokea afanyiwe upasuaji na anatakiwa aendelee kuwepo hospitalini Kwa siku kadhaa...
Nimeangalia Al Jazeera
Aisee Huyu Mwamba Wamwache Tu Amalize Alichopanga
Kifupi Hana Hata Mpango WA Kuacha Mauwaji Ya Gaza Leo Wala Keshooo
Mns Anahitaji Kizazi Kipya Gaza Hawa Waliopo Waishe Wotee
Makampuni Maarufu Duniani kwa Mapato katika 2024.
Leo, makampuni makubwa ya rejareja ya Marekani ndiyo makampuni makubwa zaidi kwa mapato duniani kote kutokana na ufikiaji wao wa kimataifa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.