International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Licha ya uamuzi wa Mahakama Kuu ya Msumbiji mapema wiki hii kuthibitisha Daniel Chapo wa chama tawala cha Mozambique Liberation Front (Frelimo) kuwa mshindi wa uchaguzi wa Oktoba 9, kiongozi wa...
1 Reactions
5 Replies
675 Views
Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari...
58 Reactions
342 Replies
56K Views
Kengele ya Mwaka Mpya wa 2025 imelia, na kuashiria mwisho wa mwaka 2024. Katika mwaka uliopita, uhusiano wa kirafiki kati ya China na Afrika umeendelezwa zaidi. Mwanzoni mwa mwezi Septemba mwaka...
3 Reactions
30 Replies
548 Views
Rais Emmerson Mnangagwa ameidhinisha Sheria inayofuta rasmi adhabu ya Kifo ambayo kama ingeendelea kutekelezwa, ingeondoa uhai wa Wafungwa takriban 60 waliohukumiwa adhabu hiyo. Shirika la...
2 Reactions
9 Replies
466 Views
MAPUTO, Msumbiji (AP) — Takriban wafungwa 6,000 walitoroka kutoka gereza lenye ulinzi mkali katika mji mkuu wa Msumbiji siku ya Krismasi baada ya uasi, kwa mujibu wa Mkuu wa Polisi wa nchi hiyo...
1 Reactions
2 Replies
762 Views
Kwa sababu Kwa Hali yeyote Ile haiwezekani na haiingii akilini mtu mwenye ushawishi mkubwa na ambae ameruka Kila kiunzi wamletee mgombea Mwanamke ashindane nae wakati wakijua haijawahi tokea kabla...
12 Reactions
57 Replies
3K Views
In 2023, Amani Girls Organization (AGO) conducted an assessment on young mothers, focusing on the challenges they face and their needs in returning to school. Nuruh, a determined young woman in...
1 Reactions
2 Replies
185 Views
Kama una ndugu yako yupo Msumbiji mwambie aondoke haraka sana hali sio nzuri . Hao wote utakaowaona kwenye video walifariki kwa kupigwa risasi. Kama unampango wa kwenda Msumbiji basi jua hii ndio...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwisho wa mwaka huu haujawa mzuri kwa Pentagon na defense contractors wake, kwa ujumla unaweza kuwaita U.S MIC (U.S Military Industrial Complex) Mapema mwezi Novemba kwenye Zhuhai Air show China...
29 Reactions
120 Replies
5K Views
Tajiri namba moja Duniani bwana Elon Musk anatabiriwa kua Trilionea wa kwanza Duniani mwaka 2027 kama utajiri wake utaendelea kukua kwa mwenendo unaokua kwa sasa. Elon Musk utajiri wake...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Hali ya mvutano inaendelea nchini Chad baada ya vyama vya upinzani kutaka kumalizika kwa haraka kwa serikali ya mpito nchini humo na kufutwa kwa uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 29. Kwa mujibu...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga Sasa leo tuwape maua yao...
10 Reactions
67 Replies
2K Views
Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa...
13 Reactions
72 Replies
4K Views
Anayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia...
7 Reactions
59 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Utekaji uliofanywa Oktoba 7 2023 ni njama za natanyahu kuiangamiza palestina.Hebu tujiulize maswali haya: 1.Hivi inaingia akililini kweli kwamba jeshi la mwamba natanyahau,tena likisaidiwa na...
4 Reactions
27 Replies
588 Views
Jumamosi ya leo siku kama ya leo mwaka 1976 Makomandoo wa kiisrael walishuka paple Uganda Entebe air port kuokoa ndugu zao. Makomandoo hao waliongozwa na kija a Jonathan Netanyahu akiwa na...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate...
4 Reactions
158 Replies
5K Views
What a surprise!?!? Al-Jawlani, Head of HTS That Overthrew Syria President, is Jewish . . . Hal Turner World December 29, 2024 What a surprise!?!?! The Head of HTS, a.k.a. "ISIS," a.k.a. "Al...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Huko Msumbiji wanatarajia kufanya uchaguzi Mkuu tarehe 09 Oktoba 2024. Huku Mgombea wa FRELIMO Komredi Daniel Chapo (47) akitarajia kushinda kwa kishindo. Maana huko Msumbiji Upinzaji upo taabani...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Back
Top Bottom