Cybertruck limelipuka kwenye maegesho pembezoni mwa hotel ya bwana Donald Trump, maarufu kama Trump Tower.
Tesla Cybertruck ililipuka nje ya Hoteli ya Trump International, Las Vegas, Januari 1...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni shambulizi la kigaidi huko new Orleans Marekani
Dereva aua watu 10 na kujeruhi wengine 30 baada ya kuendesha gari kwa spidi kubwa na kuvamia umati mkubwa wa watu...
Mataifa ya ulaya yamegawanyika kwa misingi ya kikabila, Pengine ni factor mojawapo ya maendeleo
Katika kitu walichokosea wakoloni kwa baadhi ya nchi ni kuunganisha makabila yawe nchi moja...
Hii ni taarifa iliyotolewa na IDF
The Director of Hamas Security Operations in the Gaza Strip, Major General Mahmoud Abu Salah as well as his Assistant and the Director of Investigations...
Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea...
Afisa wa Polisi Nchini Zambia, Titus Phiri, amekamatwa kwa madai ya kuwaachia huru Wafungwa zaidi ya kumi na tatu ili kusherehekea usiku wa Mwaka Mpya haliyakuwa amelewa.
Kwa mujibu wa taarifa...
China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano...
Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima...
Wanaukimbi.
Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema...
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ameamuru Wanajeshi wa Ufaransa nchini mwake kuanza kuondoka kuanzia Januari hii.
Katika ujumbe wake mnamo Desemba 31, 2024, Rais Ouattara amesema “tumechukua...
Gaidi lenyewe linaitwa Shamsud-Din Jabbar limegonga watu na gari huku likiwa na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu, na humo kwenye gari kulikua na mabomu na silaha zingine.
Aisei Marekani...
Ofisa mmoja wa polisi nchini Zambia, Titus Phiri amekamatwa kwa kosa la kulewa akiwa kazini na kuwaachia huru watuhumiwa 13 na yeye mwenyewe kukimbia.
Watu hao walikuwa wakituhumiwa kwa makosa...
Dikteta wa Syria aliye uhamishoni, Bashar al-Assad ameripotiwa kunusurika jaribio la kuwekewa sumu mjini Moscow, ambako amekuwa chini ya ulinzi wa Vladimir Putin tangu Desemba 8, 2024...
Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao
Hata kusanyiko dogo zaidi la watu...
===
Katika hali isiyo ya kawaida Wakili wa Brooklyn Nchini Marekani, Breon Peace ametangaza kujiuzuru mapema mwakani kabla ya Uapisho wa Rais Mteule wa Marekani Bw Donard Trump ambaye ataapishwa...
Ni mwanzo mzuri japo mimi kwa kweli sijawahi kuwa na imani na kobaz yeyote, hata akiwa jirani yangu, kuna majini huwa wameingizwa kwenye system zao na hutibuka mara moja ghafla bila kutarajiwa...
Hasa kizazi cha miaka.ya 70 na 80s ambao wengi wazazi wenu walizaliwa miaka ya 60 mwanzoni hadi kati kati, 50 na 40.
Wazazi wenu walikuwa wana waambia.
1. Acheni kuvuta bangi na sigara ninyi...
Naweza ungana na Biden Kwa sababu haiingii akilini umlete mgombea ambae Hakuwahi jiandaa kuwa Rais na ukamuweka ashindane na mtu maarufu ambae amejiandaa kugombea tangu siku amekataa matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.