Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameanza kipindi chake cha pili kwa mpango wa kutaka kunyakua Greenland ambalo ni eneo la nchi ya Denmark na mfereji wa Panama ambao ni eneo la nchi ya Panama...
Wadau hamjamboni nyote?
Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes.
Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland.
Pia Marekani...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameituhumu nchi ya Urusi kutumia mitandao ya kijamii kuchafua jina la Ufaransa barani Afrika.
Rais Macron alisema maneno hayo tarehe 6 Januari 2025 wakati...
Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae...
Zaidi ya Watu 900 Walinyongwa Nchini Iran Mwaka Jana, Wakiwemo 40 Katika Wiki Moja: UN
Zaidi ya watu 900 waliripotiwa kunyongwa nchini Iran mwaka jana, ikiwa ni pamoja na karibu 40 katika wiki...
Mapigano makali yameripotiwa kati ya vikosi vya Kikurdi na vikosi vinavyoungwa mkono na Uturuki kaskazini mwa Syria, ambapo zaidi ya watu 100 wameuawa ndani ya saa 48 zilizopita.
Taarifa...
Wakati mwaka mpya unapoanza, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, ameanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2025 kwa kutembelea bara la Afrika, akiendeleza utamaduni wa diplomasia...
Baadhi ya Wapalestina wamechoshwa na vitendo vinavyofanywa na hamas ikiwemo wao kukimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha wapalestina wawe ngao pale Israel inapojibu mashambulizi, Pia chakula cha...
Polisi inawashikilia Wanaume Wawili, Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri waliokamatwa huko Lusaka, wakituhumiwa kuwa Waganga wa Kienyeji waliokuwa na jukumu la kujaribu kumroga Rais...
Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura.
Baadhi ya picha...
Kila mwanzoni mwa mwaka, diplomasia ya China ina “makubaliano yasiyobadilika” — ziara ya kwanza ya waziri wa mambo ya nje lazima iwe Afrika, na mwaka huu hauna tofauti. Kuanzia tarehe 5 hadi 11...
Ukraine Attacks Zaporozhe Nuclear Power Plant
Hal Turner World January 06, 2025
Ukraine has attacked the Zaporozhe and Energodar Nuclear Power Plant in an effort to create a nuclear catastrophe...
This is the power of the Russian "Oreshnik" missile, complete devastation and utterly horrifying.
Hal Turner World January 06, 2025
Back in November, Russia struck Ukraine with a single...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amedai kwamba viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani. Macron aliyasema maneno hayo mnamo tarehe 6 January 2025 wakati akiwahutubia wanadiplomasia wa Ufaransa...
Wanaukumbi,
Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma...
Taarifa ya Chama cha Podemos imeeleza kabla ya mauaji hayo, wauaji walifuatilia gari la Dias na Guambe kwa muda kisha kuwashambulia wahusika kwa risasi katika Mji wa Maputo
MSUMBIJI: Watu wenye...
Baraza la Katiba (CC) limetangaza rasmi kuwa Rais Mteule, Daniel Chapo ataapishwa Januari 15, 2025 kuwa Kiongozi wa Taifa hilo, licha ya wito wa Wananchi, Wapinzani na Jumuiya za Kimataifa kudai...
Kutoka nchini Msumbiji inaelezwa kuwa watu waliokuwa na bunduki wamempiga risasi na kumuua mwanasiasa wa upinzani nchini humo Elvino Dias
Taarifa iliyotolewa na chama chake cha PODEMOS imeeleza...
Wanaukumbi.
CAIRO, Jan 5 (Reuters) - Palestinian militant group Hamas has approved a list of 34 hostages presented by Israel to be exchanged in a possible ceasefire deal, a group official told...
August 24, 2018
Forty-three years after the death of Spanish dictator Francisco Franco, the Socialist Party (PSOE) government of Prime Minister Pedro Sánchez has begun the complex process of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.