Miongoni mwa Amri Zilizotolewa na Trump Jana Katika Uapisho Wake
1. Kusitisha Ajira Mpya (Hiring Freeze)
Trump alitoa amri ya muda ya kusitisha ajira mpya serikalini hadi utawala wake...
1. Burkina Faso's GDP grew from approximately $18.8 billion to $22.1 billion.
2. He has rejected loans from the International Monetary Fund (IMF) and the World Bank. He said, "Africa doesn't need...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel yasema inataka mateka 34 walio hai ndiyo waachiwe huru
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo?
Hamas said willing to free only 22 of 34 living hostages demanded...
Israel asee wanapewaga hype sana. Yani kupigana na magenge ya wahuni kama Kuluna (Hamas na Hezbollah) inawachukua karibu mwaka na nusu bila kufanikisha lengo lake la kuwakomboa mateka na...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
Wanaukumbi.
🚨QATAR ANNOUNCES ISRAEL-HAMAS CEASEFIRE TO START SUNDAY
A Qatari-brokered ceasefire will go into effect Sunday at 8:30 a.m. IST (06:30 GMT), with Israel and Hamas agreeing to a...
Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu
Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa...
Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa...
Wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Rais Donald Trump tarehe 20 Januari 2025, tukio lililomhusisha Mark Zuckerberg, Mkurugenzi Mtendaji wa Meta (zamani Facebook), lilivutia sana.
Video moja...
Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.
Zipo nchi za...
Ni kawaida uongozi wa Marekani kuwafanyia nongwa viongozi wa nchi nyengine duniani wanaposhutumiwa kwa makosa mbali mbali hata yasiyothibitishwa na mahakama.
Kinyume chake raisi Donald Trump...
Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana...
Wadau hamjamboni nyote?
Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani
Taarifa kamili hapo chini kwa...
Hili si suala la ushabiki wala kiimani. Uungwana siku zote ni kujitendea haki mwenyewe kwa kuukabili ukweli hata kama ni mchungu.
Sote ni wafu watarajiwa na kwa mola tutarejea. Hata ipo tofauti...
"AN/PSQ-42 Enhanced Night Vision Binocular (ENVG-B) ni kifaa cha kuona usiku cha kizazi cha tatu (kisichotoa mwanga) kilichoandaliwa kwa ajili ya Jeshi la Marekani. ENVG-B mpya na FWS-Is...
Duru zinatabanaisha, Zelensky ameshajiandaa kukimbilia uhamishoni Nchini Uingereza endapo tu Rais Trump atatangaza usitishwaji wa msaada wa silaha na fedha zinazofadhiri vita ya Nchi yake dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.