Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA...
Historia ya Marekani ilianza kwa raia walioondoka Ulaya hasa Uingereza kuanzia karne ya 16 kwa sababu mbalimbali lakini kubwa zaidi zikiwa ni mbili, fursa za uchumi na mkandamizo wa dini...
Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu
Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za...
Wadau hamjamboni nyote?
Msako wa magaidi ya Hamas unaendelea huko Gaza
Hospital husika ilianza kutumika upya kuwa makao ya magaidi ya Hamas hivyo IDF baada ya kupata taarifa za kiinteligensia...
Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki
Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo...
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.
Na hili limeanza baada ya kuenda Perth...
Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini...
Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye...
Kwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana
Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion...
Kwa wale msiojua Rais wa Turkey Recep Tayyip Erdoğan ni Islamist kindakindaki.
Kwa sasa Rais huyo kupitia chama chake cha Adalet ve Kalkınma Partisi, (AK Parti) ni muumini mkubwa wa Muslim...
Napenda Kuuliza Tumezoea kuona Taasisi kubwa Duniani zikiwa na uongozi kamili kuanzia Ngazi ya juu hadi ngazi ya Mwisho leo napenda kuuliza je Ni nani Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa
Maana...
Rais Mteule Donald Trump, ametoa wito kwa Mahakama ya Juu kuchelewesha uamuzi wa kuufungia Mtandao wa Tiktok unaomilikiwa na kampuni ya ByteDance ya China, hadi atakapoingia rasmi madarakani na...
Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki.
Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala.
Source: SABC
Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya...
Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema...
Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi...
Wanaukumbi.
⚡️15 Israeli terrorists were eliminated by the resistance since the start of December according to Israeli announcements (the real number is more).
===============
Magaidi 15 wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Katika mahojiano na NPR inayosemekana kuwa kwa niaba ya kiongozi wa Syria Ahmed al-Sharaa, gavana wa Damascus anasema serikali mpya iliyotawazwa inataka kuwa na uhusiano...
Mmarekani na wachambuzi wake kwenye maonyesho ya SILAHA za Anga huko Uchina, walimnanga Mchina juu ya hiki Chuma, wakasema bado sanaaaa
Sasa Mchina hatimaye kawa Nchi ya kwanza Duniani kufanya...