International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Wizara ya Afya ya Urusi imetangaza kuwa imegundua chanjo dhidi ya saratani ambayo itatolewa bure kwa wagonjwa na inatarajiwa kuanza kutumika rasmi mwaka 2025. Andrey Kaprin, Mkuu wa Kituo cha...
6 Reactions
19 Replies
981 Views
Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili. Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani ✅1979 Kundi lenye itikadi kali...
5 Reactions
20 Replies
664 Views
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake. Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
By Reporter. Fresh Dossier: Africa’s deadliest wars getting fueled by UN sanctioned arms companies. New classified reports and documents from the United Nations Security Council and a company...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
By Barack Oduor ECOSOCC: African Union highest policy making organ gets new leadership amid favouritism claims. The African Union’s Economic, Social and Cultural Council (ECOSOCC) convened the...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Marcus Fakana, kijana wa miaka 18 kutoka Tottenham, London Kaskazini, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani huko Dubai baada ya kufanya mapenzi na msichana wa London mwenye umri wa miaka...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nina fuatilia hapa Al Jazeera kuhusu yaliyokuwa yanafanyika kwenye gereza la Sednaya nadhani Assad alikuwa mtu katili Sana. Ndio maana wasyria wameshangilia Sana. Leo halaiki ya watu walifika...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Mahakama mjini Bujumbura imemuhukumu kifungo cha miezi 19 Gerezani Mwandishi wa habari Sandra Muhoza baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Haya tena ...........uduuuuuuuduuu ............bado put in tu..............yaaani hapo ndio utajua kuwa Ukraine 🇺🇦 ni balaa sana...............slava Ukraine ..........piga woteeee hao mpaka wakimbie
11 Reactions
60 Replies
3K Views
Hakika kinachoendelea Syria kinatisha, Waarabu wameendelea kutokujua adui yao namba moja ni nani! Ili washughulike nae bado hawajajiuliza vyema na kujibu swali hili ipaswavyo. Je ni Iran, je ni...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Hali hiyo imetokana...
1 Reactions
25 Replies
946 Views
Wanaukumbi. Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus. Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini...
6 Reactions
106 Replies
5K Views
Luteni Jenerali wa ngazi ya juu Igor Kirillov ambaye ni Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Nyuklia, Biolojia, Kemikali (NBC) katika Jeshi la Urusi na Msaidizi wake wameuawa katika mlipuko uliotokea...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa wapinzani Iran, kuporomoka kwa utawala wa Bashar al-Assad ni muhimu kwa sababu Syria imekuwa msingi wa kimkakati kwa Iran katika kanda hiyo. Baada ya anguko la Assad huko Syria, je utawala wa...
1 Reactions
5 Replies
333 Views
Rwanda imezindua maabara ya kwanza barani Afrika kwa ajili ya kupima ubora wa kofia za waendesha pikipiki ili kuhakikisha usalama wao. Juhudi hii, ambayo ni sehemu ya Mradi wa ‘Tuwurinde’...
2 Reactions
5 Replies
583 Views
Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria...
18 Reactions
176 Replies
5K Views
Kimbunga Chido kimegharimu maisha ya watu wasiopungua 34 na kusababisha uharibifu mkubwa kote Msumbiji, Shirika la Kitaifa la Usimamizi wa Majanga na Hatari limethibitisha Jumanne. Dhoruba hiyo...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Wadau hamjamboni nyote Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…