Wakuu,
Wahenga wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji, Wenzetu Namibia yamewakuta, sisi tunajipanga vipi?
Taarifa kamili hizi hapa chini:
---
Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Maeneo ya mlima Hermon yametekwa na IDF kuanzia siku aliyekuwa Rais wa Syria Asad kupinduliwa
Yapo mengi kuhusu maajabu na umuhimu wa mlima Hermon kwa mujibu wa Biblia...
Rais Putin asaini waraka wa kuamuru majeshi ya Russia kuingia Ukraine kulinda amani ktk majimbo-yenye-uasi ya Luhansk na Donetsk
Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia amesaini tamko rasmi/...
Dunia inamaajabu yake na vituko kutoka kwa binadamu!
Sasa man anataka apate mtoto kwa kumeza kifaraga baada ya kuambiwa na mganga wa kienyeji. Ila hawa waganga wa kienyeji wa hovyo na wapumbavu...
22 September 2023
UN HQ, New York
Hotuba mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA : Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu 2023.
https://m.youtube.com/watch?v=kNH85jgzJ0Y
Asante Mheshimiwa...
CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa...
Katika hali iliyoshtua wengi, raia wa Algeria aitwaye Mohammed Amine Aissaoui mwenye umri wa miaka 35, amekiri kwamba aliahidiwa kiasi cha Euro 50000 sawa na zaidi ya Shilingi Milioni 124 za Tz...
Wamarekani na wazungu wengi huwa hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine, lakini safari hii ni tofauti sana, wameanza kuufahamu upuuzi wanaofanya wanasiasa wao kwa wengine...
Hili ni taifa teule la Mungu. Pamoja na Kuzingirwa na maadui pande zote yaani Hezbollah, Houth, Hamas, Iran, Russia na silaha kutoka kila upande wa dunia, bado Israel imeibuka kidedea.
Ushindi...
Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan.
Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo...
Jump to content
UK News Website of the Year 2024
Log in
See all News
Uyghur fighters in Syria vow to come for China next
The Turkistan Islamic Party says its main mission to ‘liberate the...
Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi.
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa...
Wabunge wawili wa kamati ya Baraza la Wawakilishi la Marekani nchini China wamewasilisha barua kwa kampuni za Apple na Google wakidai kampuni hizo zinatakiwa kuondoa Mtandao wa TikTok katika...
Assad na familia yake wamefika salama Moscow. Serikali ya Urusi yawapa hifadhi kuishi humo kwa muda wote.
===
Syria’s Bashar al-Assad and his family have arrived in Moscow and have been granted...
Wadau hamjamboni nyote
Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika
Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo
Syria igawanywe kuwa nchi 2
Lebanon igawanywe...
The IDF and Shin Bet, in a joint operation, eliminated Fahmi Salami, commander of Hamas’s Nukhba Brigade in its Zeitoun Battalion, the IDF announced Wednesday.
Salami was responsible for the raid...
Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran.
Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya...
Shalom,
Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa
Waislam huko Mecca na Madina
Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New...
Kwa kweli kazi anayoifanya Myahudi huko Middle East, kuwashughulikia kindakindaki kuanzia Iran anarudi Lebanon kisha Yemen. Kwa kweli kazi ni nzuri baraabaraa.
Kwahiyo hata wale waunga mkono wa...
Umoja wa Kisovieti/USSR/Russia pia walicheza moja ya nafasi ya kuwadanganya Waarabu wa Wapalestina kama njia ya kuisababishia matatizo Israeli.
Wakati Israeli ilipoundwa upya mwaka wa 1948...